Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Best student faculty yake udsm
 
Duh! mkuu naona unapiga ikulu sasa.....
 
Ukitaka kujua wasomi walipo nenda Jesuit fathers. Hawa wengine ni mbwembwe tu. Jesuits are most brilliant in the world ila hawajisemi tu
Alikua mshauri wa uchumi Uganda na Tanzania ya mwinyi,u haguzi 2000 CCM wakipiga kijembe kwamba lipumba kafukuzwa ushauri Uganda kwa kuwa alishauri hovyo,2000 ulikua na umri gani!?..ulikua bado unalamba kamasi!?
 
Nenda kamtafute kamusi elezo ujue yeye ni nani,halafu tafuta mchumi mtanzania aliyefanya hayo
 
Kweli wewe msanii

Msomi afu unawaza kurogwa
Hahahah
Acha hizo bana.

Mimi ni CCM tena mwanachama hai lakini nasimama na Tanzania.

Tunahitaji fikra mbadala kuongoza nchi kwa sasa.
 
Hahahah
Acha hizo bana.

Mimi ni CCM tena mwanachama hai lakini nasimama na Tanzania.

Tunahitaji fikra mbadala kuongoza nchi kwa sasa.
Kwani huko kwenu fikra zimeisha na mmefila ukomo wa mawazo
 
Kwani huko kwenu fikra zimeisha na mmefila ukomo wa mawazo
Fikra zipo sana ila zinazotawala ni fikra zenye unyama unyama ndani yake.

Wapinzani ni Watanzania na wsnastahili kusikilizwa na kuchaguliwa kama sisi tunavyolazimisha kuchaguliwa
 
MSHAURI
.the world bank
. UNDP
.global coalition of Africa
.comesa
.swedish international dev agency
. NORAD
.danida
. Finland
.bot
. Uganda 1992
. IMF 1994
Ecosoc 1998
. Namibia 1998
. Swaziland 1998
.mefmi 1998
TAFITI
.stabilization policies in Tanzania (udsm 1984)
.African unity ,some practical guidelines(1983 Stanford)
.problems and prospects of African economic integration (1982)
Nimeacha vingi ikiwemo kuishauri bunge la marekani
 
Mbona Sasa Yuko vile. Halafu kumbuka cv nyingi huwa ni chumvi
 
Sio sababu anatumika na CCM.

Kila uwongo unaishi kwa muda fulani tu(tena huu umekaa muda wa kutosha), alafu unabumburuka.

Yawezekana wakati umefika, kwa uwongo mwingi uliojengwa juu ya wanasiasa na siasa za bongo kubumburuka.
Ni kawaida tu humu kwa wanasiasa wenye kuhamia ccm kutoka upinzani au wenye kutumika na ccm huanza kushushwa thamani na kuonekana si lolote si chochote, na ndio kinachoendelea hapa kwa Lipumba.
 
Ingekuwa ni kweli hangehangaika na siasa akijua siasa ni mchezo mchafu. Taaluma yake ingemtosha kuzunguka duniani na kula pesa kilaini. Sijui kama ni kweli kama alishakuwa mshauri wa uchumi wa Museveni.
 


Best student!!, what is it good to be a best student ??, tunataka asaidie nchi hii iliyomsomesha kwa pesa yetu ili ikue kiuchumi ama sivyo ubora wake academically hauna faida yoyote zaidi ya majigambo matupu ya kwenye makaratasi, "Fulbright professor" hata kutunga kitabu kinachoweza kuwasaidia wanafunzi wa higher institutions katika economics hana!!, nikisema alikuwa anakariri masomo yake nitakosea??.

Umeelewa wewe mpumbavu??!
 

Eti mshauri wa Bunge la marekani?? Hizo zilikuwa fix.
 
Si u-google tu kamusi elezo yake uone kafanyaje
 
Ni kawaida tu humu kwa wanasiasa wenye kuhamia ccm kutoka upinzani au wenye kutumika na ccm huanza kushushwa thamani na kuonekana si lolote si chochote, na ndio kinachoendelea hapa kwa Lipumba.

..Dr.Nguyuru Ibrahim Lipumba amesoma vizuri na ktk vyuo vikubwa.

..kilichomponza ni kujiunga na chama cha upinzani Cuf.

..asingeingia upinzani, au angebaki Ccm, huenda angeshika nafasi kubwa serikalini.

..Dr.Lipumba aliachishwa kazi akiwa mhadhiri idara ya uchumi Udsm wakati Mkapa alipokuwa Raisi.

..kuwa kiongozi au mwanachama wa chama cha upinzani hapa Tanzania kuna changamoto nyingi sana.
 
Kafanyeje??, tunataka tuone anafanya nini kusaidia taifa kiuchumi leo hii.--- nani anahitaji CV na theses hapa!!
Kwani vyuo vyote tz havijazalisha wachumi wengine!?..yeye alishashauri kipindi Cha mwinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…