Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Katika ma CEO wa private banks kubwa duniani zinazoshika nafasi ishirini in terms of assets ownership; wangapi wameandika vitabu au kuja na theory zinazo fundishwa. Na ufikii hizo nafasi without performance track record ya kutengeneza faida.
Katika ma-governor wa central bank kwenye G7 wangapi wana hizo criteria za mleta na upewi tu hizo nafasi kama zawadi, kama ilivyo Tanzania.
Katika makatibu wakuu wizara ya fedha nchi za G7 nako ni wangapi wanavitabu na hawa watu ni vipanga kweli kweli nchi za wenzetu ambao wengi from top universities.
Asilimia ngapi ya Phd ambao ni lectures wa uchumi wana vitabu duniani au lini mara ya mwisho since Maynard Keynes mtu kaja na theory mpya ya uchumi ambayo lazima kuijua.
In other words hivyo vigezo ulivyotumia sio metric measure ya kuwa top economist.
Wachumi wanasoma how to maximise resources usage given their limited supply (scarcity).
Uwezi kusema Professor Lipumba ni wa ovyo wakati ajawahi kupewa kazi katika taasisi yeyote kuisimamia Tanzania wala kuwa mshauri wa ndani ya serikali au sehemu ya mipango ya kukuza uchumi.
Anyway kwa Tanzania binafsi toka nipate akili zangu kwa niliowasikia na unaona ubunifu wao in applying theories to Tanzania context kukuza microeconomic au macro ni; Dr Kimei (akiongelea banking), Marehemu Prof Ndullu na marehemu Dr Mgimwa; kati yao Dr Mgimwa I rank him to be the top economists.
Inawezekana wapo wengine kwenye private sector au bank kuu ila hawana public exposure, ila serikalini kuanzia na waziri wa fedha wa sasa na tunaowasikia kila siku hamna kitu.