Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
- Thread starter
- #21
AmenPoleni wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenPoleni wote
Amen, mbele yetu nyuma yake.Pumzika kwa amani mtumishi...
AmenApumzike kwa amani.
Kwa nini siku hizi watu hufa kabla ya wakati?Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mwasasu alikuwa akiumwa kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho.
Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi alizoziimba kwa mvuto wa aina yake na kutoa ujumbe mzuri kwa kila aliyesikiliza na kuona video za nyimbo hizo zilizopendwa na kupata umaarufu Tanzania na nje ya Tanzania.
Baadhi ya nyimbo za Mwasasu ni:
- Siku nikilala mauti.
- Nangojea wakati.
- Kutesa kwa zamu.
- Dunia inapita.
- Tukimaliza kazi.
- Kiama.
- Heri wenye moyo safi.
- Tutatesa milele.
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe, Pumzika kwa amani nguli wa nyimbo za injili Askofu Ephraim R. Mwansasu.
Chanzo: Chomoza TV
View attachment 1914996
View attachment 1915016
Hapana ni early 2000'sReal gospel legend from early 1990's. Let him rest
Umesemaakifo ni haadi