TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

Nilikutana na dada mmoja......,nilikutana na kaka mmoja...... kutesa kwa zamu


Daaah RIP Homeboy, RIP jembe
Amen, moja ya wimbo wenye ujumbe mzuri sana. Anasema kuhusu bangi kuwa Serikali imekata na dini inakataza ila kijana akasema anatesa kwa zamu.
 
Nimekua nikisikiliza nyimbo zake.

Nakumbuka nikiwa kwa mjomba wangu mchungaji mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikua ni ngoma zake 24/7.

Apumzike kwa amani.
Amen, aliimba uhalisia na kutaka kila mmoja aujue ukweli. Nyimbo zake zilipendwa sana na watu wa rika zote.
 
Back
Top Bottom