EPL: Makombe Mawili Yaliyofanana yatapelekwa kwenye Viwanja vya Emirates & Etihad katika michezo ya leo ya kuamua nani awe bingwa

Daah Timu nilizotamani zichukue ubingwa msimu huu, zote zimeangukia pua, yani ni stress juu ya stress πŸ˜’πŸ˜’
 
Sasa ulitegemea Mbumbumbu a.k.a Rage FC wanaweza kuchukua Ubingwa wa Tanzania?
Wakati wanachukua ubingwa misimu minne mfululizo ulikuwa ni ubingwa wa nchi gani, au mmeambiwa Simba ni Ihefu kwamba ubingwa kwao ni ndoto, nilijua huko kwenu wenye akili ni wawili ila wote hamnazo tu
 
Hongereni sana wana msinbazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…