Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Wanapoteza muda. Manchester City bingwa EPL 2023/24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulitegemea Mbumbumbu a.k.a Rage FC wanaweza kuchukua Ubingwa wa Tanzania?Daah Timu nilizotamani zichukue ubingwa msimu huu, zote zimeangukia pua, yani ni stress juu ya stress 😒😒
Wakati wanachukua ubingwa misimu minne mfululizo ulikuwa ni ubingwa wa nchi gani, au mmeambiwa Simba ni Ihefu kwamba ubingwa kwao ni ndoto, nilijua huko kwenu wenye akili ni wawili ila wote hamnazo tuSasa ulitegemea Mbumbumbu a.k.a Rage FC wanaweza kuchukua Ubingwa wa Tanzania?
Wakati wanachukua ubingwa misimu minne mfululizo ulikuwa ni ubingwa wa nchi gani, au mmeambiwa Simba ni Ihefu kwamba ubingwa kwao ni ndoto, nilijua huko kwenu wenye akili ni wawili ila wote hamnazo tu
View attachment 2994487
Hongereni sana wana msinbazi.