Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa..

Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa..

Jambo la kwanza: Mwanamke ambaye umekuta tayari hana bikra na ameshabadili wanaume wengi wa kila aina ametoa mimba nyingi mpaka wewe unakutana naye na still anakudai mahari broo shtuka unaingia kwenye mtego ambao utadharauliwa maisha yote ya ndoa na ukizubaa unabambikwa na watoto..

Kumlipia mahari Malaya ni dharau kubwa sana kwako mlipaji hata ndugu wa mwanamke wanaojua mapito ya Binti yao wanakuona boya umejichanganya ushikishwe kimeo ukaangaike nacho 😂 kabla haujashtuka.

Mwanamke ambaye hujamkuta na bikra kamata weka ndani ila mahari usitoe kwanini uuziwe ndaza wakati nyama za leo zipo nyingi mtaani hataki piga chini akaolewe na waliomfumua bikra zake
..shtuka mwana kwetu
 
-ukipata mwanamke oa, siyo kila binti ambaye si bikra aliipoteza kwa kupenda.

1. Mwanaume mwenzangu usiite mabinti za watu malaya KABLA YA KUJUA HISTORIA YA MAMAKO ILIKUAJE ENZI ZA UBINTI WAKE.

2. Hakuna mahusiano ya ndoa na ubikra (unaweza oa bikra, ndoa ikamshinda ukabaki, na unaweza oa mwanamke ambaye hana bikra na ndoa yenu ikadumu hadi raha)

3. ndoa ni muunganiko kati ya mke na mme wanaojua maana ya ndoa na wana akili timamu. na si muunganiko wa bikra.

4. KABLA YA KUITAFTA BIKRA YA MABINTI WENGNE, MAMAKO ALIOLEWA AKIWA BIKRA?

najua vijana wengi hamna akili timamu, tujitahd angalau kuwa heshima kidogo kwa akina mama hawa.
 
We ndio wale wazee unashirikiana na mabinti zako kuchomoa mimba toka wakiwa Form two afu unakuja kukaza ulipwe mahari kubwa mara koti la baba mara mkaza wa bibi sijui blanketi la mashangazi. tapeli mkubwa
 
Back
Top Bottom