Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Ndio nilianza mapema kwani kuna ngozi yako sehemu imeng’olewa kipindi napigwa hizo nakoz? Upumbavu tu na kukoswa akili.. utoto mwingi sana mtu mwenye fikra finyu kama ww huwezi kuniwazisha unashinda ukiwaza nyuchi za za wanawake mpaka unaanzisha mada kama kuna kitu zinakusaidia, mamaako aliovyoolewa alikuwa bikra? Kama nduguzo bikra nenda kawaoe upunguze kushauri wanaume wanaojielewa we mtoto! Umeshindwa kukaa ukawaza pesa unatoa wapi unakalia upuuzi huu mxiew! Na wanafunzi mmejaa sana humu hamjui maisha yakoje ila mnaka kujazazana uqmmae humu!, next week shule!!
Punguza mapovu dada angu najua Kuna wengi wanajuta sana kwa mapito waliyopitia lakini haiondoi uhalisia pole sana wamekulaghai wakaichana na wakakuacha kwenye mataa ..au ilitokaa kwenye baiskeli
 
Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa..

Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa..

Jambo la kwanza: Mwanamke ambaye umekuta tayari hana bikra na ameshabadili wanaume wengi wa kila aina ametoa mimba nyingi mpaka wewe unakutana naye na still anakudai mahari broo shtuka unaingia kwenye mtego ambao utadharauliwa maisha yote ya ndoa na ukizubaa unabambikwa na watoto..

Kumlipia mahari Malaya ni dharau kubwa sana kwako mlipaji hata ndugu wa mwanamke wanaojua mapito ya Binti yao wanakuona boya umejichanganya ushikishwe kimeo ukaangaike nacho 😂 kabla haujashtuka.

Mwanamke ambaye hujamkuta na bikra kamata weka ndani ila mahari usitoe kwanini uuziwe ndaza wakati nyama za leo zipo nyingi mtaani hataki piga chini akaolewe na waliomfumua bikra zake
..shtuka mwana kwetu
Kulipa mahari ni kama kufanya biashara ya utumwa inayodhalilisha utu wa mwanamke.
 
Ndio nilianza mapema kwani kuna ngozi yako sehemu imeng’olewa kipindi napigwa hizo nakoz? Upumbavu tu na kukoswa akili.. utoto mwingi sana mtu mwenye fikra finyu kama ww huwezi kuniwazisha unashinda ukiwaza nyuchi za wanawake mpaka unaanzisha mada kama kuna kitu zinakusaidia, mamaako aliovyoolewa alikuwa bikra? Kama nduguzo bikra nenda kawaoe upunguze kushauri wanaume wanaojielewa we mtoto! Umeshindwa kukaa ukawaza pesa unatoa wapi unakalia upuuzi huu mxiew! Na wanafunzi mmejaa sana humu hamjui maisha yakoje ila mnaka kujazazana uqmmae humu!, next week shule!!
😅😅 Mpotezee tu atakuchosha bure
 
Mwanamke ambaye sio bikra inabidi upewe bure sio kumlipia mahari, wakati huo familia yake inabidi ukushukuru kwa kuwafichia albu maana umeoa mwanamke aliyetumika na wanaume wengi.

Mwisho inabidi akae kwako kwa uangalizi maalumu na akikushinda tabia unamrudisha kwako. Hana haki ya kuomba mgao wa mali.
Umenena vyema mkuu., mtu wao ameshindwa kuitunza bikra wanataka wakupe kwa masharti ujinga huu
 
Sio kwamba wasiolewe kabisa? Nadhani mahari ni kitu kidogo.
Turudie back ( kwenye original ya ndoa au kuolewa ) nazungumzia founder wa ndoa na ancestors wake walikuwa wanasemaje juu ya bikra na kutokuwa bikra.. Hizi zingine Hawa wakuu wanaanzisha wengine Wana stress zao wengine wanaanzisha mada wakiwa wame target mtu au watu.. anyway ukiniwekea alie bikra na asie bikra nachukua asie na bikra
 
Back
Top Bottom