Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Kwaheri nisije nikasema vibaya leo sabato
Mwanamke ambaye sio bikra inabidi upewe bure sio kumlipia mahari, wakati huo familia yake inabidi ikushukuru kwa kuwafichia albu maana umeoa mwanamke aliyetumika na wanaume wengi.

Mwisho inabidi akae kwako kwa uangalizi maalumu na akikushinda tabia unamrudisha kwako. Hana haki ya kuomba mgao wa mali.
 
Leo kila nyuzi ni wanawake, si muoane wenyewe mxiew! Waite wapuuzi wenzio uwajaze huo upupu eti bikra nyoo! Kwenu wote wana bikra au na wao malaya kama sisi🙄
Kama hawana bikra na hawajaolewa ni Malaya tu kama wewe
 
Wengine wamelala naye kabla ya kulipia mahari ila wewe boya mpaka ulipie mahari ndio ukamatishwe
watu wazima wengine hovyo kweli, bikra ya mwanamke inaweza kuondoka kutokana na sababu kadha wa kadha mbali na kujamiiana, ila swali langu la msingi bado lipo pale pale unawezaje kugundua mwanamke kuwa ni bikra ikiwa tu bado haujamuingilia?
 
watu wazima wengine hovyo kweli, bikra ya mwanamke inaweza kuondoka kutokana na sababu kadha wa kadha mbali na kujamiiana, ila swali langu la msingi bado lipo pale pale unawezaje kugundua mwanamke kuwa ni bikra ikiwa tu bado haujamuingilia?
Acha kukaza shingo. Yaani unawezaje kumtolea mahari mwanamke ambaye hujui milage yake hapo kati. Huo ni uzembe wa hali ya juu.
 
Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa..

Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa..

Jambo la kwanza: Mwanamke ambaye umekuta tayari hana bikra na ameshabadili wanaume wengi wa kila aina ametoa mimba nyingi mpaka wewe unakutana naye na still anakudai mahari broo shtuka unaingia kwenye mtego ambao utadharauliwa maisha yote ya ndoa na ukizubaa unabambikwa na watoto..

Kumlipia mahari Malaya ni dharau kubwa sana kwako mlipaji hata ndugu wa mwanamke wanaojua mapito ya Binti yao wanakuona boya umejichanganya ushikishwe kimeo ukaangaike nacho 😂 kabla haujashtuka.

Mwanamke ambaye hujamkuta na bikra kamata weka ndani ila mahari usitoe kwanini uuziwe ndaza wakati nyama za leo zipo nyingi mtaani hataki piga chini akaolewe na waliomfumua bikra zake
..shtuka mwana kwetu
Bikra unayoweza kuiwahi uichane, labda ya BINTI YAKO! ...

Vinginevyo, Tafuta midori ya Elon Musk ununue utapata bikra!
 
Back
Top Bottom