Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Utajuaje kama hana hiyo bikra? Manake kulala nae ni mpaka uwe tayari umelipia mahari na taratibu zote za harusi zimefanyika?
sio kwa hiki kizazi chetu. Ingekuwa hivyo, 100% wengi wangekuwa mabikira maana kama mpaka alale na mwanaume ni kwamba amekwisha kulipiwa mahari na taratibu zote, ina maana wanaume wengi wangewakuta wanawake katika ubikira wao. Changamoto ni kwamba dunia sasa hivi inaendeshwa na shetani, binti anajua ataolewa tu, so anadate na akija juma sharobaro akijua kabisa lazima siku moja amani atamuoa tu, atake asitake na lazima amani akidhi vigezo vya binti yule ila binti hata asipokidhi vigezo vya amani, jamii tayari imeshamuambia amani hastahili kushikilia vigezo vyake.
 
Binti akiweza kuutunza UBIKRA wake mpaka atakapo olewa atakuwa kafaulu mtihani mkubwa sana
Kuna ile namna unataka ufanye usaliti kama mwanaume ila ukikumbuka ulimkuta mkeo BIKRA unarudi nyuma kidogo
 
Binti akiweza kuutunza UBIKRA wake mpaka atakapo olewa atakuwa kafaulu mtihani mkubwa sana
Kuna ile namna unataka ufanye usaliti kama mwanaume ila ukikumbuka ulimkuta mkeo BIKRA unarudi nyuma kidogo
 
Back
Top Bottom