-ukipata mwanamke oa, siyo kila binti ambaye si bikra aliipoteza kwa kupenda.
1. Mwanaume mwenzangu usiite mabinti za watu malaya KABLA YA KUJUA HISTORIA YA MAMAKO ILIKUAJE ENZI ZA UBINTI WAKE.
2. Hakuna mahusiano ya ndoa na ubikra (unaweza oa bikra, ndoa ikamshinda ukabaki, na unaweza oa mwanamke ambaye hana bikra na ndoa yenu ikadumu hadi raha)
3. ndoa ni muunganiko kati ya mke na mme wanaojua maana ya ndoa na wana akili timamu. na si muunganiko wa bikra.
4. KABLA YA KUITAFTA BIKRA YA MABINTI WENGNE, MAMAKO ALIOLEWA AKIWA BIKRA?
najua vijana wengi hamna akili timamu, tujitahd angalau kuwa heshima kidogo kwa akina mama hawa.