KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Pole sanaWe ndio wale wazee unashirikiana na mabinti zako kuchomoa mimba toka wakiwa Form two afu unakuja kukaza ulipwe mahari kubwa mara koti la baba mara mkaza wa bibi sijui blanketi la mashangazi. tapeli mkubwa
Inaonekana una mihemko sana
Watu kama nyie ndo mnateseka na ndoa maana imewakuta watu wawili inawezekana msiojuwa na akili timamu.
IN SHORT, KAMA UNAOGOPA MAHARI HADI SASA, RUDI UNYONYE UWE NA AKILI YA KUOA
-ACHA KUHARIBU MABINTI ZA WATU KWA KUISHI NAO MAGETONI ILI HALI HAUNA MALENGO YA KUWAOA.