Mimi naona kila mtu ana vigezo vyake. Mwanamke akisema hataki kuolewa na mwanaume asiye na pesa, haangalii kama yule mwanaume ametoka kwenye familia duni, haangalii kazi ya yule mwanaume, haangalii chochote. Hawezi ku lower standards zake kwa ajili ya yule mwanaume kwa hiyo, kama mtu anaona kuoa mwanamke bikira ni flex kwake, basi atafute na aoe, kama anaona sio ni sahihi pia. Kila mtu ana standards zake na kila standards za mtu ziheshimiwe. Kwa upande wangu sishangai kuona mtu anasema hivyo, ni matakwa yake na tunatofautiana.