Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wengine wamelala naye kabla ya kulipia mahari ila wewe boya mpaka ulipie mahari ndio ukamatishweUtajuaje kama hana hiyo bikra? Manake kulala nae ni mpaka uwe tayari umelipia mahari na taratibu zote za harusi zimefanyika?
Anatoa mahari lazima ahakikishe amelipia kilicho bora.Wewe pia una bikra au unataka awe nayo mwenzio tu?
Wewe ni bora, au unazan lak 3 yako inathaman na maisha ya mtuAnatoa mahari lazima ahakikishe amelipia kilicho bora.
Kama ulishabugi tulia tu mahari hauwezi rudishiwaMkuu achana na ayo mambo,baaadae ukebpale kitambaa cheupe mara mojaa pembeni ya Dj.
We umeshanunua ndaza endelea kupigwa matukioWewe ni bora, au unazan lak 3 yako inathaman na maisha ya mtu
Unautoto unazan hata ukioa bikira watu wakitaka kumtomba watashindwa? Kwan hao malaya walikua hawana bikira?We umeshanunua ndaza endelea kupigwa matukio
Wewe unaiona ni ndogo!Wewe ni bora, au unazan lak 3 yako inathaman na maisha ya mtu
Haha haha huuo utaratibu labda karne iliyipotaUtajuaje kama hana hiyo bikra? Manake kulala nae ni mpaka uwe tayari umelipia mahari na taratibu zote za harusi zimefanyika?
Kwaheri nisije nikasema vibaya leo sabatoWewe unaiona ni ndogo!
Ndio utaratibu wa kuwafanyia walioshindwa kutunza bikra zaoNdo maana mahari sasa ni 500k-1M, ukilipa zaidi ya hapo ni upumbavu wako.
Ukiona wanakaza, wewe chapa mimba kisha sikilizia, watakutafuta wao wenyewee ukamchukue mkeo.
We ndio wale wazee unashirikiana na mabinti zako kuchomoa mimba toka wakiwa Form two afu unakuja kukaza ulipwe mahari kubwa mara koti la baba mara mkaza wa bibi sijui blanketi la mashangazi. tapeli mkubwa-ukipata mwanamke oa, siyo kila binti ambaye si bikra aliipoteza kwa kupenda.
1. Mwanaume mwenzangu usiite mabinti za watu malaya KABLA YA KUJUA HISTORIA YA MAMAKO ILIKUAJE ENZI ZA UBINTI WAKE.
2. Hakuna mahusiano ya ndoa na ubikra (unaweza oa bikra, ndoa ikamshinda ukabaki, na unaweza oa mwanamke ambaye hana bikra na ndoa yenu ikadumu hadi raha)
3. ndoa ni muunganiko kati ya mke na mme wanaojua maana ya ndoa na wana akili timamu. na si muunganiko wa bikra.
4. KABLA YA KUITAFTA BIKRA YA MABINTI WENGNE, MAMAKO ALIOLEWA AKIWA BIKRA?
najua vijana wengi hamna akili timamu, tujitahd angalau kuwa heshima kidogo kwa akina mama hawa.