Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Punguza mapovu dada angu najua Kuna wengi wanajuta sana kwa mapito waliyopitia lakini haiondoi uhalisia pole sana wamekulaghai wakaichana na wakakuacha kwenye mataa ..au ilitokaa kwenye baiskeli
 
Kulipa mahari ni kama kufanya biashara ya utumwa inayodhalilisha utu wa mwanamke.
 
πŸ˜…πŸ˜… Mpotezee tu atakuchosha bure
 
Umenena vyema mkuu., mtu wao ameshindwa kuitunza bikra wanataka wakupe kwa masharti ujinga huu
 
Sio kwamba wasiolewe kabisa? Nadhani mahari ni kitu kidogo.
Turudie back ( kwenye original ya ndoa au kuolewa ) nazungumzia founder wa ndoa na ancestors wake walikuwa wanasemaje juu ya bikra na kutokuwa bikra.. Hizi zingine Hawa wakuu wanaanzisha wengine Wana stress zao wengine wanaanzisha mada wakiwa wame target mtu au watu.. anyway ukiniwekea alie bikra na asie bikra nachukua asie na bikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…