Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Kama ni hivyo, hakuna mwanaume atatoa mahari.
 
Maana yangu ni kwamba, kukataa kutoa mahari na kukubali kupewa mke huyo asiye na bikra ili uishi nae ni kutothamini maisha yako.

Kwa mujibu wa mleta mada ni kuwa maisha yake hayana thamani kuliko mahari. As long as watakubali kumpa mke bila mahari kwake sio big deal, mnikumbushe hivi mahari ni shingapi?

Inabidi tukubaliane kuwa no bikra no ndoa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… And vice versa kwa upande wa wanawake no nini, no nini? 🀣 Wanawake leverage yetu ni ipi?
 
Mwanamke ambaye hujamkuta na bikra kamata weka ndani ila mahari usitoe kwanini uuziwe ndaza wakati nyama za leo zipo nyingi mtaani hataki piga chini akaolewe na waliomfumua bikra zake
..shtuka mwana kwetu
Duuh Mama yako pia alikua Bikra au Mzee wako alimkuta akiwa bado anaendeleza umalaya wake ndio [akajipooza] nyege zake hapo ukazaliwa wewe?
 
Kichwa kimegoma kuelewa lolote Sasa.. kama nimevamia hii mada ya vijana
 
Duuh Mama yako pia alikua Bikra au Mzee wako alimkuta akiwa bado anaendeleza umalaya wake ndio [akajipooza] nyege zake hapo ukazaliwa wewe?
Haibadilishi ukweli na haikupi uhalali wa kula nyama iliyolala ndaza wakati nyama ya Leo Leo ipo endelea kula ndaza
 
Mama yako alikua ndaza au alikua Bikra? Km hakua bikra wewe mtoto wa malaya tu
Haijalishi we mi siwezi kulipa mahari kwa mwanamke asiye bikra akitaka mi na mchukua kama kiroba cha mahindi tu namuweka ndani mahari halambi
 
Sisi kwetu wakati wa maandalizi ya kwenda kutoa mahali mashangazi wanakuuliza vipi umekuta bado mdogo ukisema umekuta ameshakua kuna vitu vinabadilishwa kwenye ile package ya mahali.
na ndugu zake na mwanamke automatically watajua kwamba mtoto wao amekutwa used na huwa ni aibu kwao kuna baadhi ya bargaining power wanaikosa Wakati wa tukio hilo.

Watamsema mtoto wao na kumkanya aende kutulia kwani amekwisha waaibisha.

Lakini siku hizi unakuta mtu umemkuta sio bikra bado ndugu zake wanakuvimbia masharti kibao

NB: hakuna asiyetaka gari zero kilometre ni basi upatikanaji ni mgumu tumeweza kufaulu wachache tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kisu kimegusa mfupa..
Sasa Jombi ili nisipige nyeto unatakiwa unipe matako yako niyamwagiizie mbegu nzito na zitakazokufanya unawiri na ngozi yako iwe na Nuru
Ndio unavyofanywa huko nyuma wahuni wanakumwagia mashudu ndio maana umeanza kuumuka umuka ndio maana nikajiuliza hii mada mboni ina utata kumbe mleta mada ni Chakula cha Manyapara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…