MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Ujui kitu,kavae ukitongozwa usirushe ngumi.Kila rangi Mimi navaa. Unaweza Kuvaa nguo nyeusi tiii na bado ukawa shoga.
NB: TUMECHOKA NA STORI ZENU ZA MASHOGA. NYIE NDIO MNSOUPIGIA DEBE USHOGA!.
Wewe kama sio shoga hizo rangi zitakupa usumbufu gani? Watu wanavaa rangi ya nguo kufuatana na utashi wao!! Nyie mashoga mtajijua!Hapana mkuu ni elimu tu tunatoa, hata wewe unaweza kuvaa pasipo kujua watu wanaozijua hizi rangi wakikuona nazo wanakuchukulia na wewe ni mmoja wao.
Ni ushetani lengo kuwavuta Wakristo na waislamu kwa shetaniKwani huu si ni ukristo,?Au mnajidai kushangaa tena humu?
Unaweza ukadhani umetoa elimu ila waliokuwa hawajui maana ya hizo rangi na wanasapoti ushoga wataanza kuzitumia kwa kasi ili kutangaza ushoga wao. Vitu vingine tuwe tunaviacha tu vipite.Hapana mkuu ni elimu tu tunatoa, hata wewe unaweza kuvaa pasipo kujua watu wanaozijua hizi rangi wakikuona nazo wanakuchukulia na wewe ni mmoja wao.
Kusema mtu anazaliwa shoga ni SAwa na kusema mtu anazaliwa kibaka, malaya,teja,Unajiungaje na mashoga wakati yale ni maumbile/hisia, shoga anazaliwa akiwa shoga labda unaweza kumbadiri kutoka huko kwa kumpa dawa, au aina flani ya malezi bila hivyo ataendelea kuwa shoga tu, je unaweza kumkataza mwanao asioe au asiolewe??
Utanitongoza utaniambia nini? Nyie mlozoea kutongozwa wanaume wazima mnaambiwa nini na wanaume wenzenu?Ujui kitu,kavae ukitongozwa usirushe ngumi.
shetani is OVERATEDUshoga ni agenda ya darksiders mpango wa shetani kupitia Black Pope lengo kumaliza kizazi cha wanadamu
Isitoshe hiyo rainbow si ina rangi zote jamani.Sasa tutaishije.Hebu tujikite kwenye issues za maana zaidi na zenye mantiki.Kila rangi Mimi navaa. Unaweza Kuvaa nguo nyeusi tiii na bado ukawa shoga.
NB: TUMECHOKA NA STORI ZENU ZA MASHOGA. NYIE NDIO MNSOUPIGIA DEBE USHOGA!.
Ukimkuta binti kavaa mavazi ya kikahaba akatongozwa si haki akarusha ngumi.Utanitongoza utaniambia nini? Nyie mlozoea kutongozwa wanaume wazima mnaambiwa nini na wanaume wenzenu?
You must be a queer!Ukimkuta binti kavaa mavazi ya kikahaba akatongozwa si haki akarusha ngumi.
KILA mavazi yanamaana yake. Huwezi ukavaa nguo rangi ya njano ukakaa na Wana simba ukisema ni mwenzao. Huwezi vaa overoli shuleni.
Hapo kwenye overoli umechemka,je kama ni shule ya ufundi?Ukimkuta binti kavaa mavazi ya kikahaba akatongozwa si haki akarusha ngumi.
KILA mavazi yanamaana yake. Huwezi ukavaa nguo rangi ya njano ukakaa na Wana simba ukisema ni mwenzao. Huwezi vaa overoli shuleni.
Hao jamaa sasa hivi hawakwepeki kabisa washatawala Dunia na huwezi pambana nao.Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.
Wamevaa tishert zenye rangi zaView attachment 2234719View attachment 2234721 kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.
Wapo wengi tu wanavaa nguo zenye rangi hizi ila hawajui kuwa wanausapoti ushoga bila wao kujua.
Usikubali kuvaa huu ushetani hii ni laana.
Hao wachezaji kwenye picha wamevaa Tisheti zenye rangi nyeusi.Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.