Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

Hapana mkuu ni elimu tu tunatoa, hata wewe unaweza kuvaa pasipo kujua watu wanaozijua hizi rangi wakikuona nazo wanakuchukulia na wewe ni mmoja wao.
Wewe kama sio shoga hizo rangi zitakupa usumbufu gani? Watu wanavaa rangi ya nguo kufuatana na utashi wao!! Nyie mashoga mtajijua!
 
Hapana mkuu ni elimu tu tunatoa, hata wewe unaweza kuvaa pasipo kujua watu wanaozijua hizi rangi wakikuona nazo wanakuchukulia na wewe ni mmoja wao.
Unaweza ukadhani umetoa elimu ila waliokuwa hawajui maana ya hizo rangi na wanasapoti ushoga wataanza kuzitumia kwa kasi ili kutangaza ushoga wao. Vitu vingine tuwe tunaviacha tu vipite.
Umepromote ushoga bila kujua.
 
Unajiungaje na mashoga wakati yale ni maumbile/hisia, shoga anazaliwa akiwa shoga labda unaweza kumbadiri kutoka huko kwa kumpa dawa, au aina flani ya malezi bila hivyo ataendelea kuwa shoga tu, je unaweza kumkataza mwanao asioe au asiolewe??
Kusema mtu anazaliwa shoga ni SAwa na kusema mtu anazaliwa kibaka, malaya,teja,
 
Kila rangi Mimi navaa. Unaweza Kuvaa nguo nyeusi tiii na bado ukawa shoga.

NB: TUMECHOKA NA STORI ZENU ZA MASHOGA. NYIE NDIO MNSOUPIGIA DEBE USHOGA!.
Isitoshe hiyo rainbow si ina rangi zote jamani.Sasa tutaishije.Hebu tujikite kwenye issues za maana zaidi na zenye mantiki.
 
Ezekieli 1:28
[28]Kama kuonekana kwa upinde wa mvua, ulio katika mawingu siku ya mvua, ndivyo kulivyokuwa kuonekana kwa mwangaza ule pande zote. Ndivyo kulivyokuwa kuonekana kwake mfano huo wa utukufu wa BWANA. Nami nilipoona nalianguka kifudifudi, nikasikia sauti ya mmoja anenaye.

As the appearance of the bow that is in the cloud in the day of rain, so was the appearance of the brightness round about. This was the appearance of the likeness of the glory of the LORD. And when I saw it, I fell upon my face, and I heard a voice of one that spake.
 
Utanitongoza utaniambia nini? Nyie mlozoea kutongozwa wanaume wazima mnaambiwa nini na wanaume wenzenu?
Ukimkuta binti kavaa mavazi ya kikahaba akatongozwa si haki akarusha ngumi.
KILA mavazi yanamaana yake. Huwezi ukavaa nguo rangi ya njano ukakaa na Wana simba ukisema ni mwenzao. Huwezi vaa overoli shuleni.
 
You must be a queer!
 
Nguo zenye rangi za upinde wa mvua (rainbow) zilikuwepo hata kabla ya hao mashoga hawajaanza kuwa na vyama vyao,isitoshe upinde wa mvua una Kar bu rangi zote tunazozivaa kwenye nyuo zetu Kila siku,labda ungetuambia tusijaribu kuiga tabia zao ungeeleweka.
 
Ukimkuta binti kavaa mavazi ya kikahaba akatongozwa si haki akarusha ngumi.
KILA mavazi yanamaana yake. Huwezi ukavaa nguo rangi ya njano ukakaa na Wana simba ukisema ni mwenzao. Huwezi vaa overoli shuleni.
Hapo kwenye overoli umechemka,je kama ni shule ya ufundi?
 
Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.

Wamevaa tishert zenye rangi zaView attachment 2234719View attachment 2234721 kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.

Wapo wengi tu wanavaa nguo zenye rangi hizi ila hawajui kuwa wanausapoti ushoga bila wao kujua.

Usikubali kuvaa huu ushetani hii ni laana.
Hao jamaa sasa hivi hawakwepeki kabisa washatawala Dunia na huwezi pambana nao.
 
Labda tusiige tabia lakini hizo rangi hazihusiani nao kabisa

Yaani rainbow ilivyo na rangi nzuri uhiusishe na ushoga hapana aisee
 
Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.

Wamevaa tishert zenye rangi zaView attachment 2234719View attachment 2234721 kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.

Wapo wengi tu wanavaa nguo zenye rangi hizi ila hawajui kuwa wanausapoti ushoga bila wao kujua.

Usikubali kuvaa huu ushetani hii ni laana.
Hao wachezaji kwenye picha wamevaa Tisheti zenye rangi nyeusi.
 
Hata wewe mtoa maada unautangaza ushoga bila kujua, ilikuwa kukaa kimya ulivyoleta hapa watu wengi hatukujua hayo marangirangi saizi unafanya watu waanze kuyafuatilia output yake wenye akili mbovu wanaweza wakaanza kuingiwa na ushawishi kupitia promo yako
 
Back
Top Bottom