Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

Unaweza ukadhani umetoa elimu ila waliokuwa hawajui maana ya hizo rangi na wanasapoti ushoga wataanza kuzitumia kwa kasi ili kutangaza ushoga wao. Vitu vingine tuwe tunaviacha tu vipite.
Umepromote ushoga bila kujua.
Kweli kabisa.
 
Kuna miamvuli mingi sana yenye hizi rangi na watu wanatumia bila kujua
 
We focus na mambo mengine tu.
Unafatilia ushoga wa nini ??
Mentality wamekuteka bado kujaribu tu.
Wengine tulikua hatujui ata hayo marangi aya umetujuza bwana.
Sio hivyo, ni shoga ila hajikubali na hajakubali uhalisia wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huchezi mbali na nyuzi za ushoga[emoji2]
Wewe ni Shoga ila bado hujajikubali,
Ushoga ni ushetani,ushoga ni pepo linalomvaa mtu.
Mimi ninayo nguvu ya kuzishinda roho chafu na mapepo wabaya. Hilo pepo la ushoga ukaa kwa watu wachafu kiroho.Ni kutoa tu elimu jinsi ya watu kuweza kumudu mitego ya ushoga pia walio athirika na shoga ni jinsi gani wafanye Ili waache ushoga. Mungu hakuumba shoga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchungu huu.
 
Rangi zote za mungu... navaa zote ilimradi tu nia ninayo moyoni kwamba sikusudii hilo walilolilenga wao

Vipi wavaa nguo zenye misalaba, drafti za black and white, au wanaovaa mavazi henye picha za makatuni, mkuki wa kihindi ule wenye ncha tatu, crown, Chicago bulls, dole (ccm), vidole viwili (chadema), tano (ngumi), kichwa cha nyoka, nyota nyota

Hivyo nilivyotaja hapo juu vyote pamoja na hizo rangi mlizotaja (rainbow colours) tunaambiwa zina tafsiri fulani fulani ambazo si nzuri lakini alama hizo kila mtu anazitumia kwa namna fulani je, tutaweza kuepuka?

Focus kwenye malengo yako wakati wa kutumia hizo mambo... tafsiri zingine waachie wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna, woiiiiiih.
Cheka unenepe Babe Waswahili wana mambo sana,

Mid June nitakua Znz babe wangu nitakualika tufurahi Pride Month [emoji304]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…