kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Ushoga ni ukristo kwani ni uongoo?sifuti we mbwa!Futa huu upupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushoga ni ukristo kwani ni uongoo?sifuti we mbwa!Futa huu upupu
Kweli kabisa.Unaweza ukadhani umetoa elimu ila waliokuwa hawajui maana ya hizo rangi na wanasapoti ushoga wataanza kuzitumia kwa kasi ili kutangaza ushoga wao. Vitu vingine tuwe tunaviacha tu vipite.
Umepromote ushoga bila kujua.
Koran imeruhusuKwani huu si ni ukristo,?Au mnajidai kushangaa tena humu?
Huchezi mbali na nyuzi za ushoga[emoji2]Ushoga ni tabia na sio asili
Boraa useme wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ndio mnaupa ushoga promosheni na haya mabandiko yenu
Sio hivyo, ni shoga ila hajikubali na hajakubali uhalisia wake.We focus na mambo mengine tu.
Unafatilia ushoga wa nini ??
Mentality wamekuteka bado kujaribu tu.
Wengine tulikua hatujui ata hayo marangi aya umetujuza bwana.
Ushoga ni ushetani,ushoga ni pepo linalomvaa mtu.Huchezi mbali na nyuzi za ushoga[emoji2]
Wewe ni Shoga ila bado hujajikubali,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchungu huu.Mpaka umejua rangi zao maana yake na wewe ni mdau mkubwa unayefuatilia hayo mambo usituzuge hapa.
Hizo rangi nikimpelekea babu au mdogo wangu kijijini haweI kuhisi chochote na hatojua kinachoendelea.
Sio kijijini tu hata hapa mjini kwa mtu ambaye hafuatilii hizo mambo haweI jua kinachoendelea.
Ila wewe unafuatilia ushoga ndio maana umejua mpaka rangi walizoamua kutumia mkuu.
Wewe kama soo mfuatiliaji wa hizo habari za ushoga usingejua hizo rangi ni akina nani wadau wakubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utanitongoza utaniambia nini? Nyie mlozoea kutongozwa wanaume wazima mnaambiwa nini na wanaume wenzenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babeeeeeh.Huchezi mbali na nyuzi za ushoga[emoji2]
Wewe ni Shoga ila bado hujajikubali,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3]Upinde wa mvua ukitokea tufumbe macho
Tujifiche kabisa😂😂Upinde wa mvua ukitokea tufumbe macho
Cheka unenepe Babe Waswahili wana mambo sana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna, woiiiiiih.
Innalliiah wainnallilah rajiuun!Ushoga ni ukristo kwani ni uongoo?sifuti we mbwa!