Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua


heeeh ila hii nchi ina watu wa hovyo!! … sasa hii posti inaisaidiaje tanzania !!..tz hatuna tatzo hilo we kutwa unahangaika
 
Nyie ndio mnaupa ushoga promosheni na haya mabandiko yenu
Halafu unaweza kukuta unakomaa na rangi za upinde lakini unakuta mada za kifirauni kama za kwa mpalange unakuwa unashadadia, na unashiriki
Hizi kelele zako wewe ni bwabwa 100
 
Naona mabwabwa yanavyo mshambulia mtoa uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…