Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.

Wamevaa tishert zenye rangi za

View attachment 2234719View attachment 2234721 kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.

Wapo wengi tu wanavaa nguo zenye rangi hizi ila hawajui kuwa wanausapoti ushoga bila wao kujua.

Usikubali kuvaa huu ushetani hii ni laana.

heeeh ila hii nchi ina watu wa hovyo!! … sasa hii posti inaisaidiaje tanzania !!..tz hatuna tatzo hilo we kutwa unahangaika
 
Nyie ndio mnaupa ushoga promosheni na haya mabandiko yenu
Halafu unaweza kukuta unakomaa na rangi za upinde lakini unakuta mada za kifirauni kama za kwa mpalange unakuwa unashadadia, na unashiriki
Hizi kelele zako wewe ni bwabwa 100
 
Back
Top Bottom