Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Uwe unasoma kwa kuelewa., sasa hao uliowataja unawafananisha na vijana wanaoshindia miogo na mo energy ili waonge mademu.

Naongra mambo ambayo nayaona, naona jinsi vijana wenzangu ambavyo wanaingia gharama kwa sababu ya circle ya wanawake walionayo
Bro,, changing a simp's mindset is harder than changing a kite into spaceship.

This simp drank Bitches' milk nuts, he is nowhere near us by now even we could shout all day.
 
Mkuu kuna mademu hawaombi hela za kabisa na siyo. wa kishua, japo wapo wachache
 
Kuna mahusiano mengi sana ambayo wanawake hawafanyi hata moja ya haya uliyoongea hapa zaidi ya kutaka kuchuna tu, ndo maana kutwa thread za wanaume kulalamika humu jf Lamomy
 
Natafuta Ajira sijawahi kukupinga mkuu maana nyuzi zako zimenifunza mengi mno naendelea kuzingatia ushauri wako mzee.
Fursa huwa aziji mara mbili ukipata tumia na usiruhusu mtu yoyote aje kukutoa kwenye njia yako wanawake wengi ukiondoa ngono bac hakuna kitu kingine cha maana anachoweza kumuofer mwaname.
 
Mkuu umetema madini yenye thamani kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…