Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Mungu yeye hakutaka muwe karibu naye thus why akawaletea sisi tuwachangamshe 🤣🤣
Mbona Maandiko yanasema "Nikaribieni mimi..."? Mungu anataka sana ukaribu na wanadamu, wanawake wameletwa kama wasaidizi wetu ila Mungu hakutupa wanawake ili wawe centre ya attention yetu. Sisi ndo tunapaswa kuwa centre ya attention ya wanawake na kwa wanaume centre ya attention yetu inakuwa kwa Mungu.
 
Haya kamuombe akuzalie.!!
Mtu mzima kujizima data unaonekana kituko ujue..!!
 
Haya kamuombe akuzalie.!!
Mtu mzima kujizima data unaonekana kituko ujue..!!
Kwani Paulo alizaa? Yesu alikuwa na mtoto? La hasha na wameacha jina linalokumbukwa na hata wewe jina la Yesu unalitumia. Mwanaume alipoumbwa alipewa kazi kwanza , mwanamke baadaye kuonyesha mwanamke hana umuhimu sana kwa mwanaume, kilicho cha umuhimu kwa mwanaume ni kazi na kumpenda Mungu wake, mwanamke ni kitu cha ziada.
Mwisho umemkufuru Mungu kwa ujinga wako, tubu kabla hajakuhukumu.
 
Kwahiyo wewe Yesu?? 🤣🤣🤣

Mwanamke kitu cha ziada kwa mahanisi ila marijali oya oya 😹😹😹
 
Kwahiyo wewe Yesu?? 🤣🤣🤣

Mwanamke kitu cha ziada kwa mahanisi ila marijali oya oya 😹😹😹
Yesu alikuwa mwanaume kama sisi. Ndio, mwanamke ni kitu cha ziada kwa wanaume wote, hakuna thamani anayompa mwanaume, wanaume wengi wamejijenga wenyewe bila msaada kutoka kwa mwanamke.

Zaidi ya ngono, mwanamke hana kitu cha kumpa mwanaume cha maana.
 
Zaidi ya ngono, mwanamke hana kitu cha kumpa mwanaume cha maana
Na mama yako akiwemo au yeye hayupo kwenye hilo kundi??

Mimi ninacho cha kumpa mwanaume wangu sababu ngono akiitaka hata kwa malaya riverside ataipata…!!
Kuna kuumwa namuhudumia, kuna kuporomoka kiuchumi nasimamia show, matatizo ya nyumbani kwao mimi ndio waziri wake mkuu namuwakilisha anapokuwa safarini… zaidi namuhudumia kuanzia chakula cha kumboroshea afya yake ambayo anatamba nayo..! Na mengineyo mengi.
 
Anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia.Apewe msaada.!
Mkuu nimekujibu uko juu, fungua izo thread jadiri kilichoandikwa, kutaka kumjadiri alieandika ni utoto. Hao wakina dada unaotafuta support yao watakushushia heshima tu., they are very cheap for this argument, we angalia michango yao tu utajua uwezo wao wa kufikiri, ndio maana hata mimi nimewapuuza.
 
Inategemea na akili/misimamo yako, mimi binafsi kwenye mapenzi nina wanawake wengi sana. ila kila mwanamke ninayekutana naye kwa nia ya kunipa mbususu/mapenzi one of the condition ni huwa nawaambia kabisa 'Usinitafute nitakutafuta', kwa style hii sijawahi kupigwa kibomu na mwanamke yeyote yule, naendelea na mitikasi zangu za maendeleo kawaida tu. Ukileta u 'lover boy' lazima wakukwamishe
 
Wanawake wengi zaidi ya ngono, hakuna cha kuwapa wanaume. Huu ndo ukweli. We kwasababu unampenda ila naamini unampenda kwa conditions, ndo maana uko tayari kufanya yote hayo. HAPA TUNAZUNGUMZIA WANAWAKE KATIKA MAHUSIANO , HATUZUNGUMZII WAZAZI, HAKUNA MWANAUME MWENYE AKILI ZAKE TIMAMU AKAWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MZAZI WAKE WA KIKE.
 
Hiyo labda kwenye ukoo wenu ila sisi kwetu tunasaidiana kuanzia kiuchumi mpk kitandani.!

Hujawahi kuona mwanaume anaanza na mkewe from zero na wote wanatafuta pesa wanaweka pesa mezani na kupanga bajeti??
 
Wewe unawaongelea malaya wa kununua sio mke? Mana hapa unaongelea mwanamke ambaye umemuoa ndiomana nikakuuliza vipi kuhusu mama yako? Naye anamuofa baba yako ngono??

Km issue ni malaya hapo mnafanya batter stystem wala usilalamike.. unataka mbususu chana wallet… 🤣🤣🤣
Hutaki kajambe mbele tafuta sabuni lako jimalize.!

Ila kwa wanandoa ni zaidi ya ngono..
 
Sio kweli . Ndoa nyingi za sikuhizi zinavunjika. Hata ya kwako itavunjika.
 
Golden thread
Kwanza unajizungushia wanawake ili uweje? Wanawake iseful huwa ni mmoja kwa wanawake 20, ukiona wanakufuata kuna mawili, either una fursa zinazojibu mahitaji yao, pamoja na wewe kujiona mwanaume wenyewe wanakuona kama mmoja wao tu, hata wakitaka kubadili nguo wala hawakwambii uwapishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…