Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo
Under age / Chini ya miaka 18 - Siku ya siku ukikamatwa red handed unaenda kupigwa mvua 30 years hakuna mjadala.
Wake za watu - Unavyojiona gangwe wa kutoka na wake za watu jua kuna waume zao magangwe zaidi yako, ipo siku utaundiwa tume utaingia kwenye mfumo, sihitaji kuelezea sana kazi ya mafuta ya p diddy (Baada ya vitasa)
Dada poa / Malaya / cha wote - hata kama unanunua tafuta level za kawaida, epuka wanaojiuza barabarani, madanguro, n.k. kwa siku body count inasoma 10+, ukifuatilia wateja wao wengi wameathiriwa na mambo ya kiroho
binti anayekuuzia duka lako - dada wa dukani muone kama kitegea uchumi muhimu kwenye biashara, Full Stop !! ukianza kuwaza mengine unaenda kuharibu biashara yako