Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

Epuka kaa mbali, kama kwao kuna wazazi / walezi strict wakimbana kidogo tu anataja kila kitu, mida ya saa nane usiku difenda ipo kwako, kifuatacho miaka 30

Ila kwa vyuoni wale wanaotoka form 4 wanatumika sana.
Kuna jamaa aliingia kwemye hizo kumi na nane walikuja askari 15 kumkamata usiku kama gaidi
 
Huwa nikikutana na hawa wanafunzi,namuomba hata Mungu mshedede usiinuke kabisa.
Nazima data za hisia kabisa kwao japo wanashawishi sana.
Sitosahau siku Nampa habari rafiki yangu ili atoroke kuna msala wake umesanuka! Ile ameondoka asubuhi tu na bus saa 2 nikaona police 3 wakafika ofisini kumtafuta!

Niliwahi kushauriwa na baba yangu mdogo, ogopa Wanafunzi na wake za watu na wale ke wanaokwambia uje kwangu niko free naishi peke yangu!
 
Kipengele cha mwisho binti muuza duka imemgharimu shemeji yangu ndoa imeelekea kibra
 
Just never trust a woman 100%, utaumia.
 
Ushauri mzur sana
 
Malaya yule yule ukimkuta riverside atakuuzia bao Moja buku 10, akihamia escort atakuuzia bao Moja dola 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…