EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

Crdb popote ulipo tupo..

Naona wametuma meseji wako na marekebisho ko hakuna huduma kwa sasa!
 
Pumbavu zenu crdb nilipewa kadi mpya inazingua nimeomba msaada mpaka nikachoka sasa natumia crdb app
 
Crdb ujihitaji kadi mpya utasubiri wiki na zaidi
 
Back
Top Bottom