wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
ulifungua account kwa muda ganiCrdb popote ulipo tupo..
Naona wametuma meseji wako na marekebisho ko hakuna huduma kwa sasa!
siku hiyo hiyo ndugu yanguulifungua account kwa muda gani
masaa mangapi ?siku hiyo hiyo ndugu yangu
Nilijaza fomu.... Nikatoa na 10k waka process hapo nikapewa kadi nikasaini basi nikasepa sio chini ya masaa matatumasaa mangapi ?
Siku hizi ni app au internet banking huhitaji kuwa na card you transact any wherePumbavu zenu crdb nilipewa kadi mpya inazingua nimeomba msaada mpaka nikachoka sasa natumia crdb app
Aiseee !!!Crdb ujihitaji kadi mpya utasubiri wiki na zaidi
Si kila mmoja ana access na net babaSiku hizi ni app au internet banking huhitaji kuwa na card you transact any where
Of course lakn kwa sim banking Kuna menu ya kawaidaSi kila mmoja ana access na net baba