jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Haichukui muda, masaa mawili au matatu. Lakini pia wanaweza kuchukuwa baadhi ya “organs” na “fluids”, ili kuweza kufanya “a detailed laboratory examination”Najiuliza postmortem huchukua muda gani au inategemea na mwenendo wa uchunguzi wa kifo pamoja na viashiria vyake?
Lakini wanaweza kupata ripoti kamili baada ya mwezi au mwezi na nusu kutegemea na ufanisi wa Hospitali husika.