Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Najiuliza postmortem huchukua muda gani au inategemea na mwenendo wa uchunguzi wa kifo pamoja na viashiria vyake?
Haichukui muda, masaa mawili au matatu. Lakini pia wanaweza kuchukuwa baadhi ya “organs” na “fluids”, ili kuweza kufanya “a detailed laboratory examination”

Lakini wanaweza kupata ripoti kamili baada ya mwezi au mwezi na nusu kutegemea na ufanisi wa Hospitali husika.
 
Iko namna, ukweli utajifunua wakati wake ukifika.
 
Huyu mbona analeta sintofahamu pasipo sintofahamu (angetulia kwanza akapata habari kamili / akaelewa ) kabla ya kutoa maandishi
Hujaelewa uzi, amekosa habari kamili ndio maana akasema hayo, alitulia ndio maana alienda kuuliza hospitali. Hata wewe apo watoto wako wakipigiwa tu simu na kutaarifiwa umefariki ni lazima wafuatilie mazingira ya mwisho ulikuwa na kina nani na umefariki vipi, na endapo watakosa majibu kwa wahusika ni lazima walalamike
 
angesuburi apate habari kamili.., hakuna uharaka wa kutoa statement (hata uliulizwa) unasema bado tunafuatilia (ufuatiliaji hauna mwisho) unless otherwise ushapata uhakika wa figisu (kama zipo)
 
Wewe unasema wamuue mbowe na mimi nikakuuliza vipi wakianza na mamako? Kwenye suala la uhai wa mtu msiwe mnaleta masihara
Una uhakika nimesema wamuue mbowe?
Kuwa makini na hizo tuhuma unazonitwisha mkuu.. sijamtaja mbowe mimi..
Siku ingine utaliwa kimasihara .. oh! Hoo...
 
Haichukui muda, masaa mawili au matatu. Lakini pia wanaweza kuchukuwa baadhi ya “organs” na “fluids”, ili kuweza kufanya “a detailed laboratory examination”

Lakini wanaweza kupata ripoti kamili baada ya mwezi au mwezi na nusu kutegemea na ufanisi wa Hospitali husika.
HAKUNA unachojua kuhusu post mortem hivyo nakushauri kaa kimya mara moja
 
Back
Top Bottom