Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Nimesikiliza hiyo clip inayo maswali mengi Sana.
 
Covid19 ana tabia ya kukutwaa ukiwa mahali popote
 
Madaktari hawawezi wakashindwa kubaini chanzo cha kifo hata kama alifika amefariki,taarifa za chanzo cha kifo chake kielezwe kwa familia na Taifa kwa ujumla.
 
Madaktari hawawezi wakashindwa kubaini chanzo cha kifo hata kama alifika amefariki,taarifa za chanzo cha kifo chake kielezwe kwa familia na Taifa kwa ujumla.
Wafanye autopsy haraka sana.
Asije mtu kuzikwa halafu conspiracy theories zikaanza.
 
Erasto Mfugale: Kusema kweli hatukuwa tumepata taarifa dhahiri hata imetokea nini kwasababu mimi Jumapili iliyopita nilikuwa kwake Temboni, nimekuwa na mazungumzo naye mpaka saa saba usiku lakini akaniambia kesho nina kikao kidogo kule Dodoma, kwahiyo nitatoka na ndege ya mchana. Nikamuaga nikasema naenda...
Kazi ipo
 
Kama imeibua madudu katika utendaji wako!! na hukutegemea! na hujuwi hatua zipi zitakufata!! lazima uzime!!Nawaza tuu
Sio bongo hapa! Imezoeleka na ndio ilivyo hakunaga hatua zunachukuliwa watu wakifanya madudu kwenye ofisi za umma.

Mfano mdogo, Kigwangala hadi leo yupo hata baada ya report ya CAG kumshutumu kwa.matumizi mabaya ya fedha.
 
Wafanye autopsy haraka sana.
Asije mtu kuzikwa halafu conspiracy theories zikaanza.
Si ndo hapo sasa,kweli hospital ya Benjamin Mkapa hawawezi baini chanzo cha kifo? au kuna maigizo hapa?
 
Sio bongo hapa! Imezoeleka na ndio ilivyo hakunaga hatua zunachukuliwa watu wakifanya madudu kwenye ofisi za umma.

Mfano mdogo, Kigwangala hadi leo yupo hata baada ya report ya CAG kumshutumu kwa.matumizi mabaya ya fedha.
Hao ni wale ambao wamekubuhu! na wameshiriki vilivyo kutafuna keki! wanaopata mishtuko ni wale ambao wanabana halafu wenzao wanakula then jumba linaangukia kwake!!!
 
Sio bongo hapa! Imezoeleka na ndio ilivyo hakunaga hatua zunachukuliwa watu wakifanya madudu kwenye ofisi za umma.

Mfano mdogo, Kigwangala hadi leo yupo hata baada ya report ya CAG kumshutumu kwa.matumizi mabaya ya fedha.
Jana hapa,watu walikuwa wakishangiria akina Shelukindo kuachiwa wakati walikula ela za wananchi, Sasahivi majizi yote yaliyokuwa yamewekwa ndani yameachiwa kwa kasi, Sasahivi kama una ela yako hauguswi, maana utavuruga uchumi ambao unatengenezwa,labda kama ulikuwa timu Magufuri.
 
Back
Top Bottom