#COVID19 Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

Absolutely, wajinga huwa wanaona anayeswemwa ni marehemu kumbe tunataka hawa wengine waliobaki wajifunze na wajirekebishe wafanye vizuri kadri ya uwezo wao
 
Kama nyuma ya Kabendera kuna watu halafu wanajificha kiasi hicho, basi watu hao lazima awep Kabudi, Bashiru, Siro na Diwani, Madilu na yule aliyekuwa main-wofa
Mmewageuka watu wenu? Mbona humsemi Luguvi, napi na maropes? Au kwa kuwa wako kwa mama? In fact wote ni wale wale walikuwepo enzi za Baba na sasa wapo kwa Mama
 
Huo ni uongo wa mchana
 
Inaonesha alivyokuwa mzembe,mjuaji,mzushi na asyejua chochote kuhusu ueneaji/uambukizaji wa magonjwa kitaalamu.Mwishowe akawasababishia vifo wengine na yeye akatoroka aibu hiyo kwa kuamua kujifia.
Waliochanjwa hawakufa?
 
Chanjo ya covid haijawahi kuzuia covid wala kuokoa maisha ya mtu hata wazungu walioileta wenyewe wameikataa na wanawashtaki wenye makampuni ya chanjo.
Acha uongo, unadhani bila chanjo covid 19 iliondokaje? WaTanzania sijui akili zetu zipoje kila kitu ujuaji bila facts
 
Hivi covid iliendaga wapi? Na chanjo zipo? Mie nilikuwa nimemsubiri kwa hamu waziri wa afya anilazimishe kuchoma sindano!! Ningempa za uso nakwambia!! Covid was man made to eradicate poor people like Africans .God is great!! It backfired!!
Hivi mkuu mnaokejeli chanjo mlitaka serikali ifanyeje au dunia ifanyeje? Mimi mzee wangu aliungua Covid 19 akaponea ICU ikabidi baada ya hapo achukue chanjo na akawa sawa hadi leo.

Wewe binafsi watu kama sisi tuliopata wagonjwa unadhani tulikosea kumpatia chanjo? Na kama chanjo tulikosea je mbadala ulikua ni upi
 
Waliochanjwa hawakufa?
Yeah ukilinganisha waliochanjwa na wasiochanjwa utagundua vifo vingi ni kwa wasiochanjwa kaangalie CDC kule takwimu zote zipo. Tupunguze ujuaji waTanzania leo chanjo mbaya ila ARV, chanjo ya homa ya ini, chanjo ya manjano na chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi mbona tunatumia?
 
Mamaako alifariki kwa ugonjwa gani?
 
Acha uongo, unadhani bila chanjo covid 19 iliondokaje? WaTanzania sijui akili zetu zipoje kila kitu ujuaji bila facts
Facts zipi, covid iliondoka kwenda wapi? Tanzania ina watu 60+, waliochanja kwa mujibu takwimu za serikali hawazidi milioni 10, wengine 50 hawakuchanja, ama hao tu ndio walikua na covid?

Ama taarifa kama hizi kwamba chanjo haizuii maambukizi mapya kwa wagonjwa wa covid hukuzipata? Jisomee zaidi na kujielimisha usikalie kusoma udaku tu na kulishwa taarifa za uongo.

 
Reactions: Cyb
Ina maana aliyetangaza kifo cha JPM alikuwa muongo? Inadhihirisha ni mfululizo wa uwongo.
 
Tume
Mmewageuka watu wenu? Mbona humsemi Luguvi, napi na maropes? Au kwa kuwa wako kwa mama? In fact wote ni wale wale walikuwepo enzi za Baba na sasa wapo kwa Mama
Watu wetu tulio wageuka ni wakuna nani? Sisi na wao tunaunganishwa na kipi?
 
Sawa,tuseme kafa kwa COVID19,kama ukweli ni huo na sisi tuamini kuwa COVID19 ulikuwa ugonjwa wa kawaida kama magonjwa mengine,kwa sababu kama ugonjwa ungekuwa hatari kama dunia ilivyotangaziwa,wote walomuaga uwanja wa taifa, saa hii wangekuwa marehemu,wote walimuaga Dodoma, saa hii wangekuwa marehemu,wote walomuaga Chato saa hii wangekuwa marehemu,wote walopita kumuaga na wakakutana na wengine na hao wengne wakacganganyikana na wengine,mkoa wa Dar es salaama tu maiti zingeliwa na Kunguru
Watu wanakufa na kila mtu atakufa kwa ugonjwa wake.
Hata muandishi pia angefia gerezani kwa sababu huko nako watu waliingizwa kila siku na hawakuchanjwa.
 
Reactions: Cyb
KILA MTU ATAKUFA AWE MBAYA KIASI AU MZURI KIASI GANI, KIFO N MPANGO WA MUNGU
Kama kifo ni mpango wa Mungu kwa nini huwa mnakwenda hospitalini? Kuhangaika kuokoa akina mama wajawazito wasifariki wakati wa kujifungua au kupambania vichanga vizaliwe salama huwa ina faida gani kama kweli kufa ni mpango wa Mungu?
Kwa nini nchi masikini average life span iko chini tofauti na nchi zilizoendelea? Mungu anabagua nchi masikini majority wafe mapema huku wale wa developed countries akiwapendelea maisha marefu?
Mungu wenu mbona ana ubaguzi kiasi hicho? Hata wanaoshambuliwa na kuuawa na majambazi ni mpango wa Mungu?
Ushahidi wako kutoka kwa huyo Mungu ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…