#COVID19 Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

Wewe kwenye habari zote za machanjo lazima utie guu kwa kasi na kupiga porojo, lakini propaganda zako tumeshazitambua.

Na mimi nimejitolea bure kupambana na manabii uchwara wa machanjo mitandaoni kwa nguvu zote, nipo chonjo silali kama bundi.

Hatuwezi kubugia machanjo hovyo hovyo kama tunameza sakramenti, NEVER EVER FOREVER.

Tunashukuru watanzania waliwagomea mashetani na machanjo yao ya kubumba. It is on record, and we are happy!!

Kwendeni zenu na machanjo yenu uchwara.
 
Ukiwa na matatizo ya moyo,sukari,ukimwi,saratani ni ngumu kupambana na covid-19 na ukashinda,walipotangaza kuwa kafa kwa shida za moyo ilikua ni kumfichia aibu, sababu alionesha dharau kwa covid-19
kumbe!
vipi hiyo covid sikuhizi iko wapi?
imeisha? sikuhizi haiui tena viongozi?
au viongozi wenye matatizo ya moyo washaisha?
 
Kaflag anamwaga wino tu, anaandika lolote ataloona linafaa kwake.
Naaani wa kumdaka huko ughaibuni, je sirikali yetu ina kono refu kama Russia/North Korea/Israel kumuangusha wasie mhitaji hata akiwa mbali???
Yaani mtu kuandika kitabu tu mnataka auawe?!

Kumbe inawezekana wafuasi wa Magu na nyie mna matatizo ya akili kama alivyokuwa boss wenu.
 
kumbe!
vipi hiyo covid sikuhizi iko wapi?
imeisha? sikuhizi haiui tena viongozi?
au viongozi wenye matatizo ya moyo washaisha?
Hapa umeonesha usivyoweza kufikiri,aliyekufa kwa covid ni magu tu dunia nzima!?.. viongozi siyo watu!?
 
Watu wa jukwaa la siasa wanajua mwisho wa mjadala bila ya kutoleana kejeli.

You should have got the hint.
Kejeli iko wapi!?..nimalize mb zangu kuangalia usalama wa taifa wakigusana,kila siku hawagusani!?
 
Asingeweza kupona wakati wasaidizi wake Wakuu walisafishwa na COVID 19.

Cha ajabu wapumbavu wanaamini eti alisepeshwa wakati uhakika ni uviko 19 ambayo aliipuuza.
 
COVID ilitusaidia sana, nchi ilikuwa inaongozwa na mwendawazimu!
 
KIFO N KIFO TU
 
Waliokufa ni viongozi tu!?..sasa mfugale kwa nini auawe?..kijazi ana nini hadi auawe!?..mpango hakuugua!?..au yeye hakutakiwa kuuawa?..ngwilizi hakwenda kuzikwa tabora baada ya kifo cha covid?.. hakuwa na maradhi sugu!?
 
Chanjo ya covid haijawahi kuzuia covid wala kuokoa maisha ya mtu hata wazungu walioileta wenyewe wameikataa na wanawashtaki wenye makampuni ya chanjo.
Duh! 😭😭😭
Chanjo imeokoa mamilioni ya watu. Mwendazake alikuwa mjinga sana kudharau ugonjwa.
 
Walichanja wakiwa wagonjwa ikawa sumu.Ila,wengi waliokufwaga ni wale wabishi wa chanjo na dhaifu wa kinga.
Jibu lilikuwa walikufa/hawakufa. Umeanza na maelezo meengi. China, Ulaya na Usa je walikochanja mapema kabisa, walikufa ama hawakufa?
 
Nyungu zilisababisha Kijazi na Mfugale wakaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…