zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kakosea mchoro dili imegoma na wanasema walimtegea mtego akajaa imoDili la kilo 200 za cocaine ukifuata toka America kusini mpaka USA au nchi zingine zilizoendelea faida yake ni kubwa mno.
Hapo jamaa angefanikisha faida ingekuwa zaidi ya 10 Billion ukitoa expenses nzote.
Ndio unielewe mimi kwanza ndio uanze kujielewa mwenyewe wewe unafikiri Burj Khalifa ni Magomeni Kota au kule 711 Kigamboni?OK. Naona haujataka kuelewa nilichomaanisha. Rejea post # 125.
Dah mkuu umejuaje mi sio tajiri 😁Hakuna tajiri mwenye mali za halali bila kubinya waliopo chini yake kuna mahala anabinya ili yeye aingize zaidi, utakua bado hujafika levels hizo
Kazi ya mtu kufanya kwa 2M anamweka mtu anampa 400k ile 1.6M anajikunjia mwenyewe hivyo ndivyo inavyokua
Una utoto mwingi sana wewe binti wa 2000Atakana mashtaka 😅Shauri litapelekwa May 😝😝😝au atatakiwa kukaa kimya bila kujibu chochote
Hivi unajua huyo ni mwandishi wa habari realMamyUna utoto mwingi sana wewe binti wa 2000
Nimekupa hivyo ndivyo matajiri wengi hufanya kwa hio inaonekana halali kwa macho ya nje ila kwa macho ya ndani sio halali yeye anakutumia wewe kujitajirisha mwenyewe ndivyo ilivyo ukiwa tajiri ni ngumu kua na mali halali mostly ni ........ ukauzu ukauzu huruma pembeni mfanyakazi akiugua siku 2 mwisho toa weka mwingineDah mkuu umejuaje mi sio tajiri 😁
Mwandishi wa habari kufanya nini yaani kwa mfano mimi ni mwandishi wa nini hapa jf? Halafu haya mambo ya unamjua huyu nani yameanza lini humu jf?Hivi unajua huyo ni mwandishi wa habari realMamy
Utoto mwingi sana punguza utoto wewe katoto cha 2000Kuna nini tena 😅😅
Si walikuwa waganga tapeli na mmewe Ivan umesahau??Ila mbona zari tajiri 😁
Mimi nimesahau nikumbushe ninachokumbuka last time baada ya kubwagana jamaa alianza kuonyesha km ana pesa chafu sio kawaida ndio akaanza kutrend akigawa hela watu wamepanga foleni ramener aux expéditeursSi walikuwa waganga tapeli na mmewe Ivan umesahau??
Wale walikuwa na deal chafu bana madawa na mengine na unajua mambo ya South AMimi nimesahau nikumbushe ninachokumbuka last time baada ya kubwagana jamaa alianza kuonyesha km ana pesa chafu sio kawaida ndio akaanza kutrend akigawa hela watu wamepanga foleni ramener aux expéditeurs
Yeah naelewa dili chafu zipo ndio zinavyokua unapiga hela ila ndio hivyo vous n'êtes pas complet tant que vous n'avez pas terminéWale walikuwa na deal chafu bana madawa na mengine na unajua mambo ya South A
EXPERIENCE %Hakuna tajiri mwenye mali za halali bila kubinya waliopo chini yake kuna mahala anabinya ili yeye aingize zaidi, utakua bado hujafika levels hizo
Kazi ya mtu kufanya kwa 2M anamweka mtu anampa 400k ile 1.6M anajikunjia mwenyewe hivyo ndivyo inavyokua
Bora uhuru wako ewe jobless pro maxDah acha niridhike tu na kazi yangu ya papatu papatu Intelligent businessman Ata hivo fally ipupa ananikosha sana kwa rhumba nzuri
Nikipata buku nashukuru Mungu vikubwa vina madhara sema jobless 🤣watoto wazuri tutaishia Kuwaita shemeji s hatutaki kufanya dili haramuBora uhuru wako ewe jobless pro max
They don't praise them for nothing, they are paid handsomelyDRC ndo makao makuu ya machawa na praise singers. Mcongo kumsifia mtu ili apate chochote ni kama kunywa juice ya baridi saa 8 mchana pale mtaa wa Congo, Kkoo. Wasanii wa DRC waache ujinga wa kutunga nyimbo za kusifu watu kama miungu. Koffi Olomide ana wimbo unaitwa Mike Mosisi ambaye ni kiongozi wa serikali huko Eastern DRC. The late Franco naye ana wimbo wa kumsifu Dikteta Mobutu... wimbo mrefu ila huchoki kusikiliza... ni hit song iliyojaa propaganda.