Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Mkuu tupia huo wa Franco nami nipate kuikumbuka zamani yangu.
 
Zaidi ya hayo, mwaka 2020, Eric Mandala alijivunia kununua nyumba ya kifahari katika jengo refu zaidi duniani, Burj Khalifa, jijini Dubai, kwa kiasi cha Euro milioni 1.85 cash, jambo ambalo lilishangaza wengi na kuacha vinywa wazi.
kwani Euro milioni 1.85 ni nyingi kiasi gani hadi watu washangae na kubaki vinywa wazi?
 
Biashara ya madawa kuna yafuatayo,,,
1 mchimba kisima kuingia mwenyewe, yani
We wauzie wenzio lkn one day na we utayabwia,
2 usipoyavuta wewe basi mmoja kati ya kizazi cha hata mwanao ,dada yako nk nao watayabwia..
3 yote yakikukosa basi jela inakuhusu tena mvua nyingi tu.
4 kuuwawa na wafanyabiashara wenzio, serikali nk.
NB, hapa naamanisha wafanyabiashara wakubwa wa ngada sio kama wale wauza vipinchi soko la zamani ukwamani au wale wa kule manzese shidele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…