Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Umeenda deep. Utakatishaji ni tatizo kubwa. Sio wasanii tu hata vijana wanaoibuka na utajiri mkubwa ambao ukipiga hesabu haiingii akilini kupiga hela nyingi kwa muda mfupi sana. Vijana wanafungua biashara za mamilioni mengi tu halafu hapohapo anunua gari la bei mbaya huku ujenzi wa hekalu ukiendelea. Cha kushangaza atalipa media kumtangaza. Na yote haya yanafanyika chini ya miaka 10 toka aanze mishe. Sheria ikifuatwa wengi wataenda jela
 
Ukiangalia hii documentary utajifunza mengi


View: https://m.youtube.com/watch?v=mBirsuDxrU0
 
Wewe Godlove Chife wa Mambo ya Kienyeji kutoka Mama Jon Mbeya umetoa wapi hizi hela? Hivi kuna huyo wa kufanya hivyo? Huyo si Hamirapa aliechangamka doktashika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…