Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
π€£π€£πππVifo asaivi ni kama timing,
Unagombana na mtu ukiona kashika siraha, tumia miguu yako vzr,
Sio zamani mtu katoa panga upo hapo unamuambia nikate sasa, nikateee....
Sikuhizi watu hawatanii, kitu ikitoka hairudi kwenye ala kavu, unageuzwa mishkaki, unapelekwa pluto fasta.
Ondoa shaka kuhusu mbio zako katika kuokoa uhai, hutajiamini mwenyewe hio siku,
Nishawahi pita NOAH kama ipo Parking, na ile ndio ilikua pona yangu serious, sijawahi rudi ile sehemu as long najua nilizingua mwenyewe.
Mimi mtu akitoa kisu au mguu wa kuku, nionekane tuu kunguru ila ndani ya sekunde 5 sitoonekana iwe ardhini au angani.
Nan alimchoma beto?Ni play Hero kwenye Uhai? Ili nife kishujaa??
Sina utani na maisha yangu, Nipo sijui drs la 6 ile Mtoto wa mamkubwa aliact kishujaa, nini kilifuata...?
Aliangukia mlangoni, huku Kazuia utumbo usimwagike kwa mkono..
Watu wa arusha mna mkumbuka Saimonii a.k.a Raider????
As long sio mwana riadha, Basi Mungu alinipaa hii speed kuokoa uhai wangu..
Nimeuliza kwanza ushawahi msikia Raider???Nan alimchoma beto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wa Arusha ni makatili sana lakini wanawake kutoka meru(Wameru) ndo wakatili zaidi...... Unaambiwa
Ukimwona mmeru na nyoka,.... Unatakiwa umuue mmeru mwache nyoka aende.
Shemeji zangu wa huku kaskazini wababe sana , R.I.P ErickMwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme).
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema walishuhudia ugomvi ukiwa unaendela ambapo baadaye walimkuta Kijana huyo akiwa tayari ameshachomwa kisu.
Mwenyekiti wa Kijiji hicho Mollel amesema ni kweli Kijana huyo amefariki na wamempeleka katika chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru.
Sana, Kuna lifestyle flan hivi Chugga ambalo mimi binafsi naona sio zuri kwa makuzi ya mtoto, labda awe wakishua lakini hawa wa uswazi na kisoma kayumba, taifa linapoteaArusha wana usela mavi sana
Utakua unaugua Kifaduro ya akili sio makosa yako, hio list A hadi Rais wako umem-include tabia mbaya kabisaMikoa ya watu wapumbavu/wachawi/majambazi/wauaji/wabinafsi/uhuni/wanafiki/majungu/tabia za ovyo/walawiti/washenizwashezi/mamwinyi/roho mbaya/ n.k,n.k:
-Mara
-Arusha
-Tanga
-Kilimanjaro
-Pwani
-Geita
-Lindi
-Mwanza
-Simiyu
-Kigoma
-Mbeya
-Zanzibar [Unguja na Pemba]
-Mtwara
Mikoa watu fresh:
-Manyara
-Kagera
-Tabora
-Iringa
-Njombe
-Morogoro
-Ruvuma
-Singida
-Dodoma
Hata asieongeze anajua Nini kuhusu hio mikoa zaidi ya kuisikia tu,Mikoa watu fresh ongeza
1. Mwanza
2. Mtwara
Kuna wanawake wanapiga karate, judo, taikwando, na vingine km kickboxHuyo mwanaume alikuwa amelala au maana mpaka kisu kinachoma kwenye moyo alimstukiza ama ππΌββοΈ
Ah wapi hao wana mauwaki jomba ndo maana nimewaweka list mbayeeMikoa watu fresh ongeza
1. Mwanza
2. Mtwara
Braza kubwa mm sina upendeleo mi mwenyewe natoka list ya mikoa ya kidwanzi kwetu arumeru kuna mawehuUtakua unaugua Kifaduro ya akili sio makosa yako, hio list A hadi Rais wako umem-include tabia mbaya kabisa
Watu wa huko hovyo kabisaArusha tena