Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Wao wanadhani ulinzi ni kuangaika kutafuta IP za watu wanaokosoa serikari mitandaoni.Hata IGP hakutakiwa kwenda nje.
Hata Lt. Gen. Shimbo hakutakiwa kwenda China. Yani serikali sijui inaona haina cha kupoteza, inalala tu ikijiaminisha wale ni rafiki zetu.
Amekiri inamaanisha hakuna lile walikosea kumkamata.. kijana hatari huyu.. inabidi aendelee kufatiliwa mienendo yake asije akatuuza sisi wananchi wa nchi hii nzuri.
Hapa kazi tu
Hiv
Hivi wazalendo wa Tanzania ndo Huwa mnawazaga hivi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kaa kando mzee... Watu kama ww huwa sifiki nao muafakaKosa ni kuvuka mipaka au hilo la uhujumu uchumi?Kumbe mmeshaelewa kuwa amebambikiziwa kesi hizo kutokana na kalamu yake!!!!
Tunachanga mke. Wewe unatoa ngapi?Sasa mchange alipe hizo million 200+.Ama vepe mme wangu ?
Afadhali umejitambua!Kaa kando mzee... Watu kama ww huwa sifiki nao muafaka
Jiwe hajapenda ila kwakuwa anazitaka fedha zao,imebidi akubali!Kula tano mwanangu, kama sio wazungu kabendera bado angekuwa ndani.
Nimemuona leo, dah zile nywele zake zimegeuka kuwa dreads bado ana chechemea. Ni heri kaachiwa huru kijana mwenzangu, angepata shavu akaishi ughaibuni tu, hapa hapafai tena kisaikolojia na hata kiusalama.
Yaani kweli HGL ingenishinda kuisoma kama PCM niliiweza ?
msaliti wa taifa upoKwa akili zako ndogo lazima uone hivi. Kalagabaho