Ww unalala na mbowe .mobwe alikutwa na kesi ya kujibu aliyemfungulia mashtaka sio kichaa ujueKesi ya ugaidi ya Mbowe ni ipi hasa?
Kula njama kwenda Morogoro kukata miti msituni kisha kuileta mjini na kuipanga barabarani?Kwako hiyo ndiyo kesi ya ugaidi?
Kesi ya Mbowe ilikua utumbo mtupu.Mama kamfukuza kazi jasusi wa hovyo Diwan Athuman kwa kumshauri vibaya na kesi ya kipuuzi kama ile haiwezi rudi tena labda yule pimbi wa Chato afufuke
Do magufulia wa watu wala hakuwa na shida na huyo mbowe kama unavyodai samia ndo aliyemfungulia na alisema kwenye chombo cha kimataifa kuwa mbowe ni gaid huelewi tu mangiLABDA KAMA RAIS Atakaye kuja Awe MAGUFULI kwani ktk watanzania Mil.61 Hakuna mtanzania anayefanana na Magufuli kwa Roho Mbaya
Kwa mujibu wa mahakama mbowe alikutwa na kesi ya kujibuTatizo upeo wako ni mdogo sana, na dhamira yako imekufa.
DPP huondoa kesi pale anapokuwa amejiridhisha hana ushahidi wa kumtia mtuhumiwa hatiani au anapoona hakuna maslahi yoyote hata kama kesi hiyo ikiendelea.
Porojo tu kila kitu kikitokea atasingiziwa marehem hata mke wako akikosa period utasingizia marehem ndo alichoro hiyo ramaniKesi yote ilichorwa kipindi cha shetwani magufuli.
Samia alipoingia aliaminishwa huo mchongo ni kweli na watu wa magufuli.....baadae anajagundua issue nzima ni set up.
Kwa SAMIA alivyopangua safu ya magufuli ndivyo alivyozidi kupata ukweli
Hapo shetwan ni magufuli
Mbowe ameikeza sana kwa hawa mazezeta wake hata alipoanguka akiwa amelewa chakari bado kuna chawa walimtetea kuwa amevamiwaYani wewe ulikuwa unajua kuwa hiyo kesi ya Mbowe ni ya Mchongo tu ila Rais Samia hakuwa akijua na akawa anadanganywa hadi baadaye ndio akaja kujua ukweli? Ni dharau kwa Rais Samia hicho ulichokieleza au pengine unajaribu tu kumtetea.
Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala , Ndugu Erick Kabendera , ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana .
Kabenderavamefichua mbele ya Tume hiyo kwamba , kumbe siku zote Mahakimu huwaogopa waendesha mashitaka kiasi cha kudhulumu haki za Watuhumiwa , yaani hata kama mtuhumiwa ni dhahiri anaonewa hata akiwa Mahakamani , Mh Hakimu hawezi kumsaidia kwa vile anawaogopa waendesha mashitaka , bali hakusema sababu hasa za Mahakimu kuwatetemekea waendesha mashitaka hao .
Pamoja na hilo Kabendera anasema kwa miezi 7 aliyolundikwa gerezani hakuona mahali popote ambapo panaelekeza mtuhumiwa kutoa maoni yake kuhusu utendaji wa Jeshi la Polisi .
Amependekeza kiundwe chombo Maalum cha kupokea malalamiko ya wananchi juu ya utendaji wa Jeshi la Polisi , kumbukeni kwamba hakuna mahali popote ambapo unaweza kupeleka malalamiko ya Utendaji wa Jeshi la polisi bila koneksheni ya viongozi wa ccm .
Mwisho Kabendera ameahidi kurejea Tanzania pale atakapohakikisha kweli kwamba Usalama wake utalindwa .
Chanzo : Azam Media
Mbowe angekomaa amalize kesi yake mahakamani ili awe huru.
Hii ya DPP kujiondoa kwamba hana nia, DPP mwingine akiingia na rais mwingine Mbowe anafunguliwa mashataka upya.
Mbowe ametumia the easy way out ila kesi yake ya ugaidi iko pale pale.
Mlio karibu Mbowe mashaurini apambane hadi mahakama impe clearance otherwise DPP mwingine ana Rais mwingine wakiingia na wakataka kufufua kesi mbowe atarudishwa rumande kwa ugaidi.
Cdm huwa ni watu wajuaji na wenye dharau balaa kumbe ni amna kitu kichwaniShida yako ni shule ndogo. Sidhani hata kama ulimaliza darasa la saba.
Anaepeleka kesi mahakamani ni DPP, iwapo DPP atasema hana nia ya kuendelea na kesi mahakamani inaifuta ila haina maana kwamba DPP ameifuta mashtaka yako, ama hatakushitaki tena na kesi hiyo hiyo siku za mbeleni.
Wewe taahira aliemfungilia kesi Mbowe ni Samia na huyo huyo akaiondoa kesi mahakamani.
Mbowe kesi yake ya ugaidi haijafa, imetulizwa tu.
Na mojawapo ya makubaliano walioingia ni aondolewe kesi akubali masharti. Asipige pige kelele. Kelele ikizidi tu DPP anamrudisha Mbowe jela.
Akiingia rais mwingine na DPP mwingine wakapitia ushahidi, Mbowe anarudi jela.
Kwani Magufuli ndio alimfungulia kesi Mbowe? Huyo aliemfungilia kesi sio kichaa?
Mtambue kua jinai haifi isipokua uko cleared na mahakama.
Mbowe akaona achague njia rahisi kuuza haki zake chini ya mwamvuli wa makubaliano. Akiingia DPP na rais mwingine Mbowe anarudi jela.
Hapa ishu ni jinai, sio rais.
Hivi lile li Jaji linaitwaje la Mbowe? Yako mawili, moja lilianza na kutokomea ghafla na lingine likamalizia. Linaitwaje vile
Bado mna kiu na Damu za Watanzania kwa unyama mliokuwa mnafanya enzi za Mwendazake?Porojo tu kila kitu kikitokea atasingiziwa marehem hata mke wako akikosa period utasingizia marehem ndo alichoro hiyo ramani
Kwamba Mbowe alikata magogo misitu ya huko Morogoro na kuyasombelea magogo na kuyapanga barabarani ili mabasi na magari mengine yasipite. Hahahahaa aisee hatareee sana.Kesi ya ugaidi ya Mbowe ni ipi hasa?
Kula njama kwenda Morogoro kukata miti msituni kisha kuileta mjini na kuipanga barabarani?Kwako hiyo ndiyo kesi ya ugaidi?
Kesi ya Mbowe ilikua utumbo mtupu.Mama kamfukuza kazi jasusi wa hovyo Diwan Athuman kwa kumshauri vibaya na kesi ya kipuuzi kama ile haiwezi rudi tena labda yule pimbi wa Chato afufuke
Una iuliza mimi ama waliomfungulia kesi? Kamuulize Samia Kesi ya ugaidi ya Mboqe ni ipi?
Kukusaidia ni kwamba kesi haijafutwa, imeondolewa tu mahakamani. Maana yake hata Samia mwenyewe akijisikia tu anamrudisha Mbowe jela.
Njia pekee mbowe kumalizana na kesi ama kutokua na possibility ya kufunguliwa mashtaka huko mbele ilikua kesi imalizwe na mahakama.
Hii ya kuondoa kesi mahakamani inatumika kum black mail Mbowe, hatasema chochote kibaa kuhusu Samia na hatakua huru maana akiropoka tu akawaudhi wakubwa DPP anae.
Jinai haifi.
Kumbe kwa kifupi hata Mbowe ni mnufaika wa huruma ya DPP
Porojo tu kila kitu kikitokea atasingiziwa marehem hata mke wako akikosa period utasingizia marehem ndo alichoro hiyo ramani
Mbowe ameikeza sana kwa hawa mazezeta wake hata alipoanguka akiwa amelewa chakari bado kuna chawa walimtetea kuwa amevamiwa
Kabendera bana! eti sirudi mpaka nihakikishiwe usalama wa kutosha....kwa impact gani alokua nayo kwa taifa labda asiporudi kuna mambo hayataenda?
Aendelee tu kubeba mabox huko alipo.
Sikujua bado kuna watu wamekimbia nchi! Haka katakuwa ka project sasa! Mwendazake si amesepa kama Lema anavyosema?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app