Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Kesi ya ugaidi ya Mbowe ni ipi hasa?
Kula njama kwenda Morogoro kukata miti msituni kisha kuileta mjini na kuipanga barabarani?Kwako hiyo ndiyo kesi ya ugaidi?

Kesi ya Mbowe ilikua utumbo mtupu.Mama kamfukuza kazi jasusi wa hovyo Diwan Athuman kwa kumshauri vibaya na kesi ya kipuuzi kama ile haiwezi rudi tena labda yule pimbi wa Chato afufuke
Ww unalala na mbowe .mobwe alikutwa na kesi ya kujibu aliyemfungulia mashtaka sio kichaa ujue
 
LABDA KAMA RAIS Atakaye kuja Awe MAGUFULI kwani ktk watanzania Mil.61 Hakuna mtanzania anayefanana na Magufuli kwa Roho Mbaya
Do magufulia wa watu wala hakuwa na shida na huyo mbowe kama unavyodai samia ndo aliyemfungulia na alisema kwenye chombo cha kimataifa kuwa mbowe ni gaid huelewi tu mangi
 
Tatizo upeo wako ni mdogo sana, na dhamira yako imekufa.

DPP huondoa kesi pale anapokuwa amejiridhisha hana ushahidi wa kumtia mtuhumiwa hatiani au anapoona hakuna maslahi yoyote hata kama kesi hiyo ikiendelea.
Kwa mujibu wa mahakama mbowe alikutwa na kesi ya kujibu
 
Kesi yote ilichorwa kipindi cha shetwani magufuli.
Samia alipoingia aliaminishwa huo mchongo ni kweli na watu wa magufuli.....baadae anajagundua issue nzima ni set up.
Kwa SAMIA alivyopangua safu ya magufuli ndivyo alivyozidi kupata ukweli


Hapo shetwan ni magufuli
Porojo tu kila kitu kikitokea atasingiziwa marehem hata mke wako akikosa period utasingizia marehem ndo alichoro hiyo ramani
 
Yani wewe ulikuwa unajua kuwa hiyo kesi ya Mbowe ni ya Mchongo tu ila Rais Samia hakuwa akijua na akawa anadanganywa hadi baadaye ndio akaja kujua ukweli? Ni dharau kwa Rais Samia hicho ulichokieleza au pengine unajaribu tu kumtetea.
Mbowe ameikeza sana kwa hawa mazezeta wake hata alipoanguka akiwa amelewa chakari bado kuna chawa walimtetea kuwa amevamiwa
 
Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala , Ndugu Erick Kabendera , ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana .

Kabenderavamefichua mbele ya Tume hiyo kwamba , kumbe siku zote Mahakimu huwaogopa waendesha mashitaka kiasi cha kudhulumu haki za Watuhumiwa , yaani hata kama mtuhumiwa ni dhahiri anaonewa hata akiwa Mahakamani , Mh Hakimu hawezi kumsaidia kwa vile anawaogopa waendesha mashitaka , bali hakusema sababu hasa za Mahakimu kuwatetemekea waendesha mashitaka hao .

Pamoja na hilo Kabendera anasema kwa miezi 7 aliyolundikwa gerezani hakuona mahali popote ambapo panaelekeza mtuhumiwa kutoa maoni yake kuhusu utendaji wa Jeshi la Polisi .

Amependekeza kiundwe chombo Maalum cha kupokea malalamiko ya wananchi juu ya utendaji wa Jeshi la Polisi , kumbukeni kwamba hakuna mahali popote ambapo unaweza kupeleka malalamiko ya Utendaji wa Jeshi la polisi bila koneksheni ya viongozi wa ccm .

Mwisho Kabendera ameahidi kurejea Tanzania pale atakapohakikisha kweli kwamba Usalama wake utalindwa .

Chanzo : Azam Media

Kesi ya Mbowe ilikuwa mfano mzuri. DPP alimpelekesha jaji, mpaka akawa anakubaliana na mambo ya kijinga.
 
Mbowe angekomaa amalize kesi yake mahakamani ili awe huru.

Hii ya DPP kujiondoa kwamba hana nia, DPP mwingine akiingia na rais mwingine Mbowe anafunguliwa mashataka upya.

Mbowe ametumia the easy way out ila kesi yake ya ugaidi iko pale pale.

Mlio karibu Mbowe mashaurini apambane hadi mahakama impe clearance otherwise DPP mwingine ana Rais mwingine wakiingia na wakataka kufufua kesi mbowe atarudishwa rumande kwa ugaidi.

Kwa ushahidi gani? Hata wangefungua Mara kumi ule ushahidi wa kupikwa Hakuna kitu pale.
 
Shida yako ni shule ndogo. Sidhani hata kama ulimaliza darasa la saba.

Anaepeleka kesi mahakamani ni DPP, iwapo DPP atasema hana nia ya kuendelea na kesi mahakamani inaifuta ila haina maana kwamba DPP ameifuta mashtaka yako, ama hatakushitaki tena na kesi hiyo hiyo siku za mbeleni.
Cdm huwa ni watu wajuaji na wenye dharau balaa kumbe ni amna kitu kichwani
 
Wewe taahira aliemfungilia kesi Mbowe ni Samia na huyo huyo akaiondoa kesi mahakamani.

Mbowe kesi yake ya ugaidi haijafa, imetulizwa tu.

Na mojawapo ya makubaliano walioingia ni aondolewe kesi akubali masharti. Asipige pige kelele. Kelele ikizidi tu DPP anamrudisha Mbowe jela.

Akiingia rais mwingine na DPP mwingine wakapitia ushahidi, Mbowe anarudi jela.

Kesi ilianza kipindi Cha Magufuli , Samiah aliingizwa Chaka tu. Kesi gani ile Kama sio ujinga.
 
Kwani Magufuli ndio alimfungulia kesi Mbowe? Huyo aliemfungilia kesi sio kichaa?

Mtambue kua jinai haifi isipokua uko cleared na mahakama.

Mbowe akaona achague njia rahisi kuuza haki zake chini ya mwamvuli wa makubaliano. Akiingia DPP na rais mwingine Mbowe anarudi jela.

Hapa ishu ni jinai, sio rais.

Jinai gani, Nani alifanyiwa ugaidi na Mbowe? Kuna shaidi yeyote alikija mahakamani kudai alifanyiwa ugaidi?. Acheni kushabikia vitu vya kijinga.
 
Hivi lile li Jaji linaitwaje la Mbowe? Yako mawili, moja lilianza na kutokomea ghafla na lingine likamalizia. Linaitwaje vile

Yale majaji majinga kweli, yanafanya maamuzi kwa kumuogopa DPP. Unasema Kuna kesi ya kujibu wakati, Hakuna aliyedhuriwa na ugaidi Wala ushahidi wa njama za kutenda ugaidi. Majaji hopeless.
 
Kesi ya ugaidi ya Mbowe ni ipi hasa?
Kula njama kwenda Morogoro kukata miti msituni kisha kuileta mjini na kuipanga barabarani?Kwako hiyo ndiyo kesi ya ugaidi?

Kesi ya Mbowe ilikua utumbo mtupu.Mama kamfukuza kazi jasusi wa hovyo Diwan Athuman kwa kumshauri vibaya na kesi ya kipuuzi kama ile haiwezi rudi tena labda yule pimbi wa Chato afufuke
Kwamba Mbowe alikata magogo misitu ya huko Morogoro na kuyasombelea magogo na kuyapanga barabarani ili mabasi na magari mengine yasipite. Hahahahaa aisee hatareee sana.
 
Una iuliza mimi ama waliomfungulia kesi? Kamuulize Samia Kesi ya ugaidi ya Mboqe ni ipi?

Kukusaidia ni kwamba kesi haijafutwa, imeondolewa tu mahakamani. Maana yake hata Samia mwenyewe akijisikia tu anamrudisha Mbowe jela.

Njia pekee mbowe kumalizana na kesi ama kutokua na possibility ya kufunguliwa mashtaka huko mbele ilikua kesi imalizwe na mahakama.

Hii ya kuondoa kesi mahakamani inatumika kum black mail Mbowe, hatasema chochote kibaa kuhusu Samia na hatakua huru maana akiropoka tu akawaudhi wakubwa DPP anae.

Jinai haifi.

Acha upotoshaji, mbona watu wengi wameachiwa mahakamani kwa nolle prosequi?. Hata wengine hawajulikani. Ile kesi ilikuwa haina kichwa Wala miguu na mashahidi wa kutengeneza. Unamshtaki mtu kwa ugaidi halafu hakuna shahidi wa kuthibitisha huo ugaidi?.

Kesi ya kijinga kweli, Kuna siku au Ni lini ugaidi umefanyika Tanzania? Acheni kushabikia ujinga kisa uchama.
 
Kabendera bana! eti sirudi mpaka nihakikishiwe usalama wa kutosha....kwa impact gani alokua nayo kwa taifa labda asiporudi kuna mambo hayataenda?

Aendelee tu kubeba mabox huko alipo.
 
Kumbe kwa kifupi hata Mbowe ni mnufaika wa huruma ya DPP

Hakuna Cha huruma ni matumizi mabaya ya madaraka kukomoa watu. Nolle prosequi kwenye kesi ya Mbowe imetolewa muda mbaya. Nolle Prosequi haiwezi kutolewa wakati mahakama imeshakubali Kuna kesi ya kujibu.
 
Porojo tu kila kitu kikitokea atasingiziwa marehem hata mke wako akikosa period utasingizia marehem ndo alichoro hiyo ramani

Ukweli lazima usemwe, Magufuli alikuwa Shetani. Kesi gani ya vile kumkomoa mwanadamu mwenzako. Seema yeye adhabu yake ilikuwa kubwa akafutwa kwenye uso wa Dunia.
 
Mbowe ameikeza sana kwa hawa mazezeta wake hata alipoanguka akiwa amelewa chakari bado kuna chawa walimtetea kuwa amevamiwa

Ukiwa kipofu huwezi kuona dhuruma kwa wenzako, ila siku yakikutokea ndipo utauujua ukweli. Wewe endelea kuiabudu CCM na kuona wengine sio Raia was nchi hi na hawastahili kulalamika. Alikuwepo Ndugai katesa wapinzani bungeni, lakini muda wake ulipofika alifukuzwa kwa aibu uspika.
 
H
Kabendera bana! eti sirudi mpaka nihakikishiwe usalama wa kutosha....kwa impact gani alokua nayo kwa taifa labda asiporudi kuna mambo hayataenda?

Aendelee tu kubeba mabox huko alipo.

Abaki huko, huko. Huku sio pa kuja.
 
Back
Top Bottom