Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Sikujua bado kuna watu wamekimbia nchi! Haka katakuwa ka project sasa! Mwendazake si amesepa kama Lema anavyosema?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

..Magufuli kufa imeleta ahueni.

..tatizo ni watu wa task force waliokuwa watekelezaji wa amri za Magufuli.

..Je, task force walikuwa kina nani?

..Je, serikali iko tayari kuwachukulia hatua?

..Je, task force wanalindwa na serikali ya awamu ya 6?
 

Mambo ya kutunga unaleta hapa? Eti kuchoma shell? Wangechoma kutumia Nini? Acheni uongo bwana, ile kesi haikuwa na maana.
 
Wewe siyo mwerevu, haya mambo ni makubwa kuliko uwezo wa ubongo wako. Mashtaka ya Mbowe yana husiana na matukio yaliyotokea kati ya April 2020 na November 2020.

Na ukumbuke mara baada ya uchaguzi Mbowe hakuwapo nchini hadi Magufuli alipokufa ndiyo alirudi. Alikuwa anamkimbia Magufuli ambaye alitaka kumpoteza uhai kabisa
 
Ndio maana kamtumbua Athumani wa TISS kwa kumshauri vibaya.
Bado hujajibu swali, wewe hukuhitaji kuambiwa au kushauriwa kuwa ile kesi ni ya mchongo uliona wazi kuwa ni kesi ya mchongo ila yeye Samia pamoja na kuwa alikuwa huko huko jikoni ila bado hakuweza kuona kuwa ile kesi ni ya mchongo.
 
Kakuta kesi ilishafunguliwa. Mbowe aliunganishwa baadae. Kiukweli ile kesi haikuwa na maana yeyote.
Kakuta kesi ila kumbuka alikuwa katika nafasi gani kwanza na wakati yeye anaongea aliyoongea katika mahojiano yakecBBC kuhusu kesi ya Mbowe huku watu walikuwa wanasema ni kesi ya mchongo.
 
Kesi ilishafutwa hiyo akija mtawala mwingine akitaka kumshtaki itabidi aanze upya acha kupotosha umma
 
Mbowe ameikeza sana kwa hawa mazezeta wake hata alipoanguka akiwa amelewa chakari bado kuna chawa walimtetea kuwa amevamiwa
Ni kweli kabisa maana anapanda hadi jukwaani na kuhutubia huku kalewa kabisa.
 
Wewe ndiye mpumbavu vinginevyo hukuwa unafuatilia hii kesi jalada lilifunguliwa Juni 2020 na kina ling'wenya na wenzake walikamatwa Agost 2020, embu nikumbushe raise alikua nani enzi hizo?

Baada ya uchaguzi mnamo novemba 2020 kamanda mambosasa alitangazia umma kwamba mbowe ana tuhuma za kupanga ugaidi wa kulipua vituo vya mafuta na kudhuru viongozi wa serikali ilikua ni utawala wa nani? Kuwa sukuma gang ni lazima uwe mpumbavu?
 
Ulikuwepo kwenye hayo makubaliano au unabwabwaja tu hapa
 
Wapi ww, si ilikuwa akichemsha jambo simlikuwa mnasema ana washauri wabaya? Hata hivyo dhalimu alikuwa anajifanya mjuaji sana, hadi akawa yeye ndio anawashauri washauri wake.
Point ni kwamba Magufuli hakuwa akikwepa lawama kwenye uongozi wake na kusingiziwa washauri.
 
Kwa ujumla wewe ni mpumbavu halafu unafkiri kila mtu ni mpumbavu kama wewe
 
Kesi ilishafutwa wewe mburula wadanganye wasiojua Sheria, DPP akishaondoa kesi mahakamani ina maana akitaka kuendelea nayo inabidi aanze upya fala wewe
 
Mpumbavu sana huyu halafu ujuaji mwingi ila kichwani ni kamasi tupu
 
Mkuu wangu nafahamu hauijui sheria kwa ulichoandika hapa. Naomba utafute maana ya haya maneno "DOUBLE JEOPARDY"

View attachment 2565014
Nyie ndio wale shuleni mnakua mnauza karanga ama bagia.

Double Jeopardy inazuiliwa kama mahakama imekuachia huru ama imekutia hatiani hivyo huwezi kushitakiwa kwa makosa yale yale ambayo ulishitakiwa nayo mwanzo na hukumu ikatolewa.

Sasa Mbowe hukumu ilitolewa na mahakama? Kama jibu ni ndio naomba nakala ya hukumu. Kama sio basi DPP siku yoyote anaweza kumrudisha Mbowe mahakamani kwa mashtaka yale yale maana alieondoa kesi ni DPP.

Bush lawyer hata unakariri tu maneno bila kujua maana yake.
 
Unajua maana ya kufuta? Hivi kumbe upumbavu ni kipaji
 
Duh!....hii dunia hii ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…