Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Sikujua bado kuna watu wamekimbia nchi! Haka katakuwa ka project sasa! Mwendazake si amesepa kama Lema anavyosema?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

..Magufuli kufa imeleta ahueni.

..tatizo ni watu wa task force waliokuwa watekelezaji wa amri za Magufuli.

..Je, task force walikuwa kina nani?

..Je, serikali iko tayari kuwachukulia hatua?

..Je, task force wanalindwa na serikali ya awamu ya 6?
 
No no no no, hiyo ya magogo ilikuwa ni ya baadaye wangefanya makamanda kutoka Mara huku makamanda wa Dar es Salaam wangerubuni vibaka kuchoma sheli zote za Temeke na Mwembechai na GoGo Hotel. Hii ingeleta taharuki nchini ili watu wadai tumehuru na maridhiano. Cha kwanza kabisa ilikuwa ni personal vendeta ya Mwenyekiti: wale makomandoo watatu walikuwa specifically wamuue ole Sabaya. Kilichotokea ni kwamba ili kupata nishai, wale makomandoo kwanza walipota Rau Madukani kujichana mbege na wahudumu wa pale. Si ndipo wakakamatwa na Kamanda Kingai na AfandeJumanne? Ule ushahidi wa mtu wa tigopesa na mnaso wa Afande Urio maongezi yake na "Homeboy" mbowe ilikuwa foolproof, kilichosevu ni huruma ya Mama

Mambo ya kutunga unaleta hapa? Eti kuchoma shell? Wangechoma kutumia Nini? Acheni uongo bwana, ile kesi haikuwa na maana.
 
Kwani Magufuli ndio alimfungulia kesi Mbowe? Huyo aliemfungilia kesi sio kichaa?

Mtambue kua jinai haifi isipokua uko cleared na mahakama.

Mbowe akaona achague njia rahisi kuuza haki zake chini ya mwamvuli wa makubaliano. Akiingia DPP na rais mwingine Mbowe anarudi jela.

Hapa ishu ni jinai, sio rais.
Wewe siyo mwerevu, haya mambo ni makubwa kuliko uwezo wa ubongo wako. Mashtaka ya Mbowe yana husiana na matukio yaliyotokea kati ya April 2020 na November 2020.

Na ukumbuke mara baada ya uchaguzi Mbowe hakuwapo nchini hadi Magufuli alipokufa ndiyo alirudi. Alikuwa anamkimbia Magufuli ambaye alitaka kumpoteza uhai kabisa
 
Ndio maana kamtumbua Athumani wa TISS kwa kumshauri vibaya.
Bado hujajibu swali, wewe hukuhitaji kuambiwa au kushauriwa kuwa ile kesi ni ya mchongo uliona wazi kuwa ni kesi ya mchongo ila yeye Samia pamoja na kuwa alikuwa huko huko jikoni ila bado hakuweza kuona kuwa ile kesi ni ya mchongo.
 
Kakuta kesi ilishafunguliwa. Mbowe aliunganishwa baadae. Kiukweli ile kesi haikuwa na maana yeyote.
Kakuta kesi ila kumbuka alikuwa katika nafasi gani kwanza na wakati yeye anaongea aliyoongea katika mahojiano yakecBBC kuhusu kesi ya Mbowe huku watu walikuwa wanasema ni kesi ya mchongo.
 
Mbowe angekomaa amalize kesi yake mahakamani ili awe huru.

Hii ya DPP kujiondoa kwamba hana nia, DPP mwingine akiingia na rais mwingine Mbowe anafunguliwa mashataka upya.

Mbowe ametumia the easy way out ila kesi yake ya ugaidi iko pale pale.

Mlio karibu Mbowe mashaurini apambane hadi mahakama impe clearance otherwise DPP mwingine ana Rais mwingine wakiingia na wakataka kufufua kesi mbowe atarudishwa rumande kwa ugaidi.
Kesi ilishafutwa hiyo akija mtawala mwingine akitaka kumshtaki itabidi aanze upya acha kupotosha umma
 
Mbowe ameikeza sana kwa hawa mazezeta wake hata alipoanguka akiwa amelewa chakari bado kuna chawa walimtetea kuwa amevamiwa
Ni kweli kabisa maana anapanda hadi jukwaani na kuhutubia huku kalewa kabisa.
 
Wewe taahira aliemfungilia kesi Mbowe ni Samia na huyo huyo akaiondoa kesi mahakamani.

Mbowe kesi yake ya ugaidi haijafa, imetulizwa tu.

Na mojawapo ya makubaliano walioingia ni aondolewe kesi akubali masharti. Asipige pige kelele. Kelele ikizidi tu DPP anamrudisha Mbowe jela.

Akiingia rais mwingine na DPP mwingine wakapitia ushahidi, Mbowe anarudi jela.
Wewe ndiye mpumbavu vinginevyo hukuwa unafuatilia hii kesi jalada lilifunguliwa Juni 2020 na kina ling'wenya na wenzake walikamatwa Agost 2020, embu nikumbushe raise alikua nani enzi hizo?

Baada ya uchaguzi mnamo novemba 2020 kamanda mambosasa alitangazia umma kwamba mbowe ana tuhuma za kupanga ugaidi wa kulipua vituo vya mafuta na kudhuru viongozi wa serikali ilikua ni utawala wa nani? Kuwa sukuma gang ni lazima uwe mpumbavu?
 
Wewe taahira aliemfungilia kesi Mbowe ni Samia na huyo huyo akaiondoa kesi mahakamani.

Mbowe kesi yake ya ugaidi haijafa, imetulizwa tu.

Na mojawapo ya makubaliano walioingia ni aondolewe kesi akubali masharti. Asipige pige kelele. Kelele ikizidi tu DPP anamrudisha Mbowe jela.

Akiingia rais mwingine na DPP mwingine wakapitia ushahidi, Mbowe anarudi jela.
Ulikuwepo kwenye hayo makubaliano au unabwabwaja tu hapa
 
Wapi ww, si ilikuwa akichemsha jambo simlikuwa mnasema ana washauri wabaya? Hata hivyo dhalimu alikuwa anajifanya mjuaji sana, hadi akawa yeye ndio anawashauri washauri wake.
Point ni kwamba Magufuli hakuwa akikwepa lawama kwenye uongozi wake na kusingiziwa washauri.
 
Kwani Magufuli ndio alimfungulia kesi Mbowe? Huyo aliemfungilia kesi sio kichaa?

Mtambue kua jinai haifi isipokua uko cleared na mahakama.

Mbowe akaona achague njia rahisi kuuza haki zake chini ya mwamvuli wa makubaliano. Akiingia DPP na rais mwingine Mbowe anarudi jela.

Hapa ishu ni jinai, sio rais.
Kwa ujumla wewe ni mpumbavu halafu unafkiri kila mtu ni mpumbavu kama wewe
 
Una iuliza mimi ama waliomfungulia kesi? Kamuulize Samia Kesi ya ugaidi ya Mboqe ni ipi?

Kukusaidia ni kwamba kesi haijafutwa, imeondolewa tu mahakamani. Maana yake hata Samia mwenyewe akijisikia tu anamrudisha Mbowe jela.

Njia pekee mbowe kumalizana na kesi ama kutokua na possibility ya kufunguliwa mashtaka huko mbele ilikua kesi imalizwe na mahakama.

Hii ya kuondoa kesi mahakamani inatumika kum black mail Mbowe, hatasema chochote kibaa kuhusu Samia na hatakua huru maana akiropoka tu akawaudhi wakubwa DPP anae.

Jinai haifi.
Kesi ilishafutwa wewe mburula wadanganye wasiojua Sheria, DPP akishaondoa kesi mahakamani ina maana akitaka kuendelea nayo inabidi aanze upya fala wewe
 
Mjinga unapojifanya una uelewa, unahamia kwenye ujuha.

DPP akishasema hana haja ya kuendelea na kesi, mahakama inaifuta hiyo kesi. Tatizo hamjui chochote, mnajifanya kuelewa.

Mbowe mpaka sasa hana kesi yoyote, kama alikufanyia huo ugaidi wewe, ukamfungulie kesi wewe kuliko kubwabwaja upuuzi.

Ninyi wa uzao wa shetani, mtaendelea kujutia na kutamani kipindi cha uovu kirudi, lakini kamwe haitakuwa. Kilichobakia ni ninyi waovu wa uzao wa shetani kupokea malipo yenu sawasawa na matendo yenu.
Mpumbavu sana huyu halafu ujuaji mwingi ila kichwani ni kamasi tupu
 
Mkuu wangu nafahamu hauijui sheria kwa ulichoandika hapa. Naomba utafute maana ya haya maneno "DOUBLE JEOPARDY"

View attachment 2565014
Nyie ndio wale shuleni mnakua mnauza karanga ama bagia.

Double Jeopardy inazuiliwa kama mahakama imekuachia huru ama imekutia hatiani hivyo huwezi kushitakiwa kwa makosa yale yale ambayo ulishitakiwa nayo mwanzo na hukumu ikatolewa.

Sasa Mbowe hukumu ilitolewa na mahakama? Kama jibu ni ndio naomba nakala ya hukumu. Kama sio basi DPP siku yoyote anaweza kumrudisha Mbowe mahakamani kwa mashtaka yale yale maana alieondoa kesi ni DPP.

Bush lawyer hata unakariri tu maneno bila kujua maana yake.
 
Shida yako ni shule ndogo. Sidhani hata kama ulimaliza darasa la saba.

Anaepeleka kesi mahakamani ni DPP, iwapo DPP atasema hana nia ya kuendelea na kesi mahakamani inaifuta ila haina maana kwamba DPP ameifuta mashtaka yako, ama hatakushitaki tena na kesi hiyo hiyo siku za mbeleni.
Unajua maana ya kufuta? Hivi kumbe upumbavu ni kipaji
 
..tafuta video ya ushuhuda wa Mdude Nyagali.

..kuna Jaji aliyehusika na makesi ya kubambika ndugu yake alitekwa na task force na hajulikani aliko.

..Jaji kashindwa kutoa msaada. Ndugu wanahangaika kila mahali mpaka wamemuomba Mdude awasaidie kupaza sauti.
Duh!....hii dunia hii ...
 
Back
Top Bottom