Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Ona ulivyo mpumbavu anayethibitisha kosa ni DPP au ni mahakama? Unapobwabwaja upumbavu wako usifikiri kila mtu ni mpumbavu kama wewe
 
Acha utaahira wewe dada!

Samia wakati huo mchoro unachorwa alikuwa wapi na alikuwa na cheo gani?

Si alikuwa makamu rais?

Asali imewapofusha mmekuwa mazuzu kabisa!

Subirini 2025 ccm iwapelekee moto ndio akili zitawakaa sawa
Hivi mkuu akiamua lake makamu ana ubavu wa kumzuia? Acha uzwazwa
 
Kabendera? Yule Mhutu anayetuhumuwa kuua Watusi milioni 3 genocide? Au ukoo huo huo kakimbilia kwetu? Si alikuwa anasafisha hela za kigeni halipi kodi zinatumika kuwalipa wapinzani? Si zilianikwa na CRDB account zake na mkewe?
Ni mahakama ipi ilimtia hatiani Kwa hayo uliyoyaandika hapa?
 
Matokeo yake akapotea yeye
 
Ww unalala na mbowe .mobwe alikutwa na kesi ya kujibu aliyemfungulia mashtaka sio kichaa ujue

Kukutwa na kesi ya kujibu sio kukutwa na hatia,ukijitetea ndiyo mahakama inapima.
Ktk rekodi za Mbowe hamna mahali ita onyesha kawahi kutwa na hatia ya ugaidi.

Briefly,unaweza tuambia tuhuma za ugaidi za Mbowe ilikuaje?Huo ni ugaidi au ni tuhuma za ‘kutaka’ kufanya ugaidi?
 
Point ni kwamba Magufuli hakuwa akikwepa lawama kwenye uongozi wake na kusingiziwa washauri.

Kwa kiburi kile cha madaraka washauri wake ni wale waliokuwa wanafuata atakavyo, na sio itakiwavyo. Ongea utakacho lakini habari ndio hiyo.
 
Kwa kuwa mahakama zetu zinaendeshwa kwa utashi wa wanasiasa hilo linaweza kutokea. Kama ushahidi wa jamuhuri ulikuwa ni ule na bado mahakama ikawa inapoteza muda usemacho ni sahihi. Kwa mahakama huru na ushahidi ule, ilitakiwa mashahidi wa serekali wote wawe ndani kwa kutunga kesi ile ya kishenzi.
 
Kwa ushahid mbovu kama ile
Labda watunge nyingine mpya
 
Ndiyo sisi hao kila jambo tunafanya kinyume, nchi za wenzetu mtuhumiwa ndiye boss kwakuwa bila watuhumiwa kuwepo hao wote hawana ajira
 
Tena ya mbowe ni rahisi sana andiko ya mwisho kwenye faili lasema:

... ACCUSED HAVE CASE TO ANSWER, CASE FOR MENTION FOR THEM TO BEGIN THEIR DEFENCE ....

.... ndipo Mama akaona huruma.

Akija DPP mwingine ni kupanga tarehe tu utetezi uanze, itaanzia Rau madukani walipokamatiwa wakinywa mbege kuelekea kumuua ole Sabaya.
 
Kwa kiburi kile cha madaraka washauri wake ni wale waliokuwa wanafuata atakavyo, na sio itakiwavyo. Ongea utakacho lakini habari ndio hiyo.
Yule aliyekuwa anafuata atakavyo mliona anakosea kutosikiliza washauri na huyu anayefuata washauri naye washauri wanampotosha, sasa bora nani yule aliyeacha kuwasikiliza waahauri wapotoshaji au huyu anayewafuata washauri wenye kumpotosha?
 
Unajua hoja ni nini hapa au umeshapotea baada ya mjadala kwa mrefu? Maana huwa nakujua ni bingwa wa kupoteza focus mjadala ukiwa mrefu?
 
Haya
 
Unajua hoja ni nini hapa au umeshapotea baada ya mjadala kwa mrefu? Maana huwa nakujua ni bingwa wa kupoteza focus mjadala ukiwa mrefu?
Hoja ni kwamba Magufuli alibeba lawama za makosa ya serikali yake tofauti na sasa Samia anabeba sifa kwa yale mazuri ila kwenye makosa lawama wanabebeshwa washauri wake na yeye anabi kuwa hana la kulaumiwa.
 
"Mimi sishauriwi, na ukinishauri ndio umeharibu" Maneno hayo alitamka Magufuli au Samia? Kila kitu kiko humo.
 
"Mimi sishauriwi, na ukinishauri ndio umeharibu" Maneno hayo alitamka Magufuli au Samia? Kila kitu kiko humo.
Sasa lini yeye Samia aliwahi kukiri kuwa ana shauriwa vibaya hadi nyie muone kuwa tatizo ni washauri wake na si yeye?
 
Jinai hufikishwa mahakamani pale kunapokuwa na nia ya kushitaki (intention prosecute).
Hali hiyo hufanya wahalifu waweze kuwashitaki raia wema wasio na hatia , kutegemea nani mwenye madaraka kwa huo (wahalifu au wenye haki).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…