Hili wewe umelijuaje? Au ulikuwepo Ikulu ?....kama hukuwepo kwanini ubishe alichokiandika Kabendera?Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Kibebendera ni tapeli muongoHili wewe umelijuaje? Au ulikuwepo Ikulu ?....kama hukuwepo kwanini ubishe alichokiandika Kabendera?
Assume wewe ndio umefanyiwa hivyo, ungempenda?Huyu mwandishi tangu kukamatwa kwake,kwenda jela(mahabusu),mama yake kufariki nk..alimchukia sana Hayati...andiko limeandikwa kishabiki sana...
Tupeni nyie ukweli wa kilichotokeaKibebendera ni tapeli muongo
Hamna chochote kilichotokea ukitaka ujue utapeli wa kibenndera ni hiyo picha aliyotumiaTupeni nyie ukweli wa kilichotokea
Hakuna shida maana kwa sasa legacy inaendeleaHii italeta shida kwa walinda legacy
Ben saanane yuko wapiKabendera anahitaji msaada wa kitaalamu (psychological intervention).
Tatizo ni kumpoteza mama yake, akiwa jela wakati yeye ndio alikuwa bread winner.
Ni hivi unapochagua life style (a career) or risk lazima ujue na madhara yake pia.
Huwezi kuwa unaandika nakala za kuichafua nchi yako, unauza kwa mabeberu huo ni uhaini kwa lengo la kupata pesa. Nchi zenyewe za third world, uwe tayari kuishi na madhira yake ukibaibika.
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, kutokuelewa kuna consequences in life; yaani watanzania wanachukulia vitu poa.
Ikulu siyo miliki yakeUkilingnisha na ofisi ya Rc unakosea.
Ikulu ina utofauti kwa sababu, ni ofisi na makazi ya Rais hapo hapo.
Rc haishi ofisini anapofanyia kazi.
Sasa kufanyia mauaji nyumbani kwako na huku una mamlaka ya kuamrisha tu mtu kwenda kufyekewa mbali na ikawezekana, nd'omimi akili inagoma kuamini.
Na huyu mwandishi anajulikana kwa adha aliyoipata kwenye utawala huo, siyo wa kumuamini sana.
Sultan alishirikiana na KizimkaziKibao makengeza
Yaani wewe unaamini Jiwe alikuwa hatembea na mguu wa kuku kiunoniMwandishi kwa makusudi kabisa ameamua kutumia picha ambayo ilikua ni siku Magufuli anawasilisha silaha zake kufanyiwa ukaguzi kwa maelekezo ya RC wa Dar.
Ambaye alitaka kila mkazi wa Dar apelekw silaha zake kufanyiwa ukaguzi. Ndipo ikapatikana hiyo picha. Watakaoona hicho kitabu na hawajui juu ya hilo wakisoma hicho kipande cha "he always carried a gun" kuna mtazamo wataupata.
Ndiye Rais alikua anatembea na walinzi kibao. Atembee nayo ya nini?Yaani wewe unaamini Jiwe alikuwa hatembea na mguu wa kuku kiunoni
Such allegation(s) need(s) ....hard evidence(s)...!Such allegations needs to be accompanied by hard evidences.., Not Just Hearsay (Sources I have Spoken to)
Just my two Cents.....