Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Hili wewe umelijuaje? Au ulikuwepo Ikulu ?....kama hukuwepo kwanini ubishe alichokiandika Kabendera?
 
Mwandishi kwa makusudi kabisa ameamua kutumia picha ambayo ilikua ni siku Magufuli anawasilisha silaha zake kufanyiwa ukaguzi kwa maelekezo ya RC wa Dar.

Ambaye alitaka kila mkazi wa Dar apelekw silaha zake kufanyiwa ukaguzi. Ndipo ikapatikana hiyo picha. Watakaoona hicho kitabu na hawajui juu ya hilo wakisoma hicho kipande cha "he always carried a gun" kuna mtazamo wataupata.
 
Kabendera anahitaji msaada wa kitaalamu (psychological intervention).

Tatizo ni kumpoteza mama yake, akiwa jela wakati yeye ndio alikuwa bread winner.

Ni hivi unapochagua life style (a career) or risk lazima ujue na madhara yake pia.

Huwezi kuwa unaandika nakala za kuichafua nchi yako, unauza kwa mabeberu huo ni uhaini kwa lengo la kupata pesa. Nchi zenyewe za third world, uwe tayari kuishi na madhira yake ukibainika.

Hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, kutokuelewa kuna consequences in life; yaani watanzania wanachukulia vitu poa.
 
Kabendera anahitaji msaada wa kitaalamu (psychological intervention).

Tatizo ni kumpoteza mama yake, akiwa jela wakati yeye ndio alikuwa bread winner.

Ni hivi unapochagua life style (a career) or risk lazima ujue na madhara yake pia.

Huwezi kuwa unaandika nakala za kuichafua nchi yako, unauza kwa mabeberu huo ni uhaini kwa lengo la kupata pesa. Nchi zenyewe za third world, uwe tayari kuishi na madhira yake ukibaibika.

Hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, kutokuelewa kuna consequences in life; yaani watanzania wanachukulia vitu poa.
Ben saanane yuko wapi
 
Ukilingnisha na ofisi ya Rc unakosea.

Ikulu ina utofauti kwa sababu, ni ofisi na makazi ya Rais hapo hapo.

Rc haishi ofisini anapofanyia kazi.

Sasa kufanyia mauaji nyumbani kwako na huku una mamlaka ya kuamrisha tu mtu kwenda kufyekewa mbali na ikawezekana, nd'omimi akili inagoma kuamini.

Na huyu mwandishi anajulikana kwa adha aliyoipata kwenye utawala huo, siyo wa kumuamini sana.
Ikulu siyo miliki yake
Anaweza kutumia Kwa mauji
Jiwe alikuwa fala, me naamini alitenda hilo fala yule
 
Mwandishi kwa makusudi kabisa ameamua kutumia picha ambayo ilikua ni siku Magufuli anawasilisha silaha zake kufanyiwa ukaguzi kwa maelekezo ya RC wa Dar.

Ambaye alitaka kila mkazi wa Dar apelekw silaha zake kufanyiwa ukaguzi. Ndipo ikapatikana hiyo picha. Watakaoona hicho kitabu na hawajui juu ya hilo wakisoma hicho kipande cha "he always carried a gun" kuna mtazamo wataupata.
Yaani wewe unaamini Jiwe alikuwa hatembea na mguu wa kuku kiunoni
 
Back
Top Bottom