Kabendera anahitaji msaada wa kitaalamu (psychological intervention).
Tatizo ni kumpoteza mama yake, akiwa jela wakati yeye ndio alikuwa bread winner.
Ni hivi unapochagua life style (a career) or risk lazima ujue na madhara yake pia.
Huwezi kuwa unaandika nakala za kuichafua nchi yako, unauza kwa mabeberu huo ni uhaini kwa lengo la kupata pesa. Nchi zenyewe za third world, uwe tayari kuishi na madhira yake ukibaibika.
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, kutokuelewa kuna consequences in life; yaani watanzania wanachukulia vitu poa.