Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Hata ikitokea jiwe harudi tena ikulu wala machawa wake hatutakaa tuwarudishe ikulu.

Under mkwere's tactical and technical skills don't expect any sukuma gang to step in state house again.
Usichore mstari mkuu hata kipindi ya yule wa chato . That snart person he was outsmarted. Wahuni walivurugana wao kwa wao. Haya mengine huwa nje ya control ya binadamu.

Mimi naaminibkatija sheria na kuwajibika aliye madarakani na njr ya madaraka ikiwa anatumia ofisi vibaya. Naamini katika kufilisi mali za viongozi walijinufaisha aidha wako hai au wanekufa ili mradi tu ithibitike kuwa walitenda kosa
 
Pengine alijua ila sio kushiriki..Lisu mwenyewe anakiri kwamba hajawahi pata kashfa yeyote kumhusu Rais Samia.
Shida ya Mama ni kutoonesha matumaini ya kumaliza matatizo ya kimfumo yaliyopo. Hata Hayati Jpm alifanya kosa kama hilo. Laiti kama angeweka mifumo ya kisheria na kikatiba imara angeongoza kwa urahisi sana. Na yeyw alitaka kutumia udhaifu uliopo kukandamiza wanyonge wake.

Hii ni opportumity murua Rais Samia anaweza kuitumia kama Mkuu wa Nchi kurekebisha haya mambo.
 
Utawala wa kimafia ....
 
Naona watu wamelizika Tozo, Mchele 3,000, Maharage 3,400, Petrol 2,890, kwangu Mimi Bora Magufuli. Barabara zote ni yeye, miundo mbinu yote ni yeye. Rais Magufuli ni Rais Bora kwa watanzania. Wezi ndio wanamlalamikia.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mama Janet anaujua ukatili wa mmewe. Magufuli alikuwa anamtembezea mboko Mama J. Yule mama ni mvumilivu anatakiwa kupewa taji ya ndoa kumvumilia mtu controversial kama John.
Acha kupaka familia za watu matope,.....jiheshimu
 
Mbona kama umepanic ndugu. Au na wewe unahusika?
 
Mijitu ambayo akili ziko tumboni inawaza mchele, na maharage tu. Unalalamika bei ya Petrol wakati gari huna hata baiskeli huna. Sisi wenye magari mbona twaingia na kununua peteoli kama Kawaida.?

Unasema bora Magufuli wakati umesahau kuwa yeye alikuta bei ya Kilo ya sukari ni Tshs 1,800/- lakini kwa upumbavu wake akavuruga mfumo ikapanda hadi Tsh 3,000/- Afadhali ya Magufuli iko wapi hapo?
 
Ukauzu unafaa kwa kutumia akili..
Unafikiri Kagame sio kauzu?
Kagame anatumia akili.. Anabalance ukauzu na uchumi wa nchi..

Huwezi kuwa Rais kisha ukachezea uchumi wa nchi kwa kubambika kesi nyingi zisizo na dhamana kisha kuchukua hela kwa nguvu kutoka kwa raia wako.
Unatuma watu waje wachukue hela kwenye beural.. Unavamia bank account za watu.. Kisha unasema mimi Mzalendo..

Nenda pale ofisi za DPP kanda ya Dar.. Mafail yalijaa kesi za kutunga ili kutunisha mfuko wa Jiwe na DPP mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…