Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Yanayoitwa matatizo ya kimfumo yanawanufaisha ccm na yeye akiwa miongoni mwa Wanufaika..

Sasa bila pressure hakuna kitu kinaitwa matatizo ya kimfumo yatatatuliwa hadi pale wananchi watakapoamua..
 
Sasa hayupo na hawezi chunguzwa, Saa 100 mwenyewe lazima alishiriki mambo yanayosemwa mfano ununuzi wa ndege nk

Haina maana kwa sasa,na viongozi wa sasa ni kama mwendazake tu ndio maana waliimba ccm ni ile ile
nani alikwambia aklishiriki,nani kakwambia ukiwa makamo wa rais una maamuzi juu ya rais
 
NI kweli marehemu alikuwa na michezo ya kihuni.
Ila kwa Sasa haya unayofanya bwana kabendera hayana maana.
Yupo zake chato anajigeuza geuza.
Na kule alipo Hana smartphone
yana maana sana waliojeruhiwa badhi wapo wanaweza kurudishiwa tabasamu lao
 
tunaomba wewe utupe ushahidi wa hiyo midola kwanza.eti ulikiri na ukalipa we kweli msenggg..e hujaona hapo amesema mtu anabinywa mapumb..u miaka miine ingekua wewe usingelipa hata kama ni uongo
 
Vyeti feki acha chuki,Magufuli amefariki sukari ilikua 2,200/=
 
Tatizo hiyo cheni ukigusa utafika kwenye kina kikuu kabisa ambapo wengine walisema nchi itatetemeka
 
Mwendazake alikuwa na kipaji kikubwa sana cha uigizaji,sema hakutaka kukitukia tu
 
Kulipa kodi mihimu sana ila kinachoaatikana kisifanye wachache waishi kama wako mbinguni na wengine kama wako shimoni. Ni nani asiyelipa kodi/tozo. Lakini, je, hakuna anayekosa hata panado japo analipa na maji anakunywa ya kisima?
Umesema vyema, tungekuwa tunaona kwa macho kodi zetu zinaenda wapi angalau ingependeza,mfano, ukutane na Hospital iliyojengwa kwa kodi au basi nyumba za NHC,lakini pia hiyo kodi isiwe kubwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…