Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Kabendera akumbuke hayuko juu ya sheria. Kumsema vibaya kwa tuhuma kama hizi ni kosa kisheria. Hapo haichukuliwi kwsmba anamsema JPM, bali anaisema taasisi ya urais na serikali kwa ujumla ambayo mpaka sasa inaongoza nchi.
Toa upumbav hapa ,huyo Rais na wajinga wenzake si kaajiliwa na wananchi ? ,wanakula na kuishi Kwa Kodi za wananchi ,hii Tabia ya kijinga Sana kuwaona hao vibwengo kama miungu watu ni dalili ya upungufu WA akili timamu .Sasa kama walikuwa hawataki kusemwa wala kukosolewa hivyo vyeo waligombea vya nini ? ,wengine mpaka wanaenda kulala Kwa waganga wa kienyeji na kutembea nao ili wapate hivyo vyeo vya kisiasa .
 
Serikali iangalie pande zote mbili ...kuna watu, genhe walipora mali ya nchi hii na kujitajirisha na lusababisha vifo vingi kwa watu wengi maskini kwa kuwa serikali ilishindwa kuwahudumia...Kuna ambao kwa kutumia NGO na taasisi za haki za binadamu walilipwa fedha nyingi kukwamisha mambo serikali ilitekeleza lakini iliathiri mapato ya matajiri wachache..
 
Muhuni ni yule aliyetaka kuvunja katiba atawale taifa hili lenye misingi imara milele, JK alitukomboa kwa kukataa uhuni na kuuzima, usitokee ki #VAN DAME!
Yaani lile lihutu la intarahamwe sijui lilikuwa linajiona kama Nani Yani , lilikuwa limetayarisha mapimbi kama akina masinde ,ndugai , msukuma , deo Sanga na mazezeta wengine mule kumpigia mapambio kila siku ,mara mitano tena mara 10 tena ,smzile kauli za kifedhuli fedhuli ,yaani Kwa kweli Mungu alitueousha na mengi tulikuwa tunaelekea katika Hali mbaya Sana
 
Wewe unadhani mafuta yakipanda bei kuna bidhaa gani ambayo haitapanda bei?
Huyo muhuni wa Msoga ndiyo anaharibu nchi,msifieni sana Ila siku mukimjua vizuri mtabaki midomo wazi.Nadhani tutaelewana muda ukifika,kwasasa bidhaa ambayo haijapanda Bei ni Chumvi ya mboga tu.
 
Yanayoitwa matatizo ya kimfumo yanawanufaisha ccm na yeye akiwa miongoni mwa Wanufaika..

Sasa bila pressure hakuna kitu kinaitwa matatizo ya kimfumo yatatatuliwa hadi pale wananchi watakapoamua..
Naunga mkono hoja, upo sahihi kabisa Chief
 
Team Msoga wameanza propaganda, haya mashambulizi dhidi ya JPM yatakuja kuipasua CCM 2030.
Magufuli angetaka kumkamata kikwete wala asingehangaika kubinya watu korodani.

Uchunguzi wa pesa ya escrow iliyosombwa kwa magari ya Ikulu ungetosha kumficha kikwete.
 
ElA5JSwXIAA2Dat.jpg

200 (17).gif

icon_lol.gif
icon_lol.gif
icon_lol.gif
icon_lol.gif
H2PVGZZOTNLIHFGQO3WT7MAZHM.jpg
 
Ngoma ndio Kwanza inaanza kupigwa....
Naamini ipo siku Mwamedi atasema tu ilikuwaje Hadi akatekwa Karibu na Ikulu...Time will Tell
Mwamedi muoga hawezi sema jambo..
Ila ishu take makonda aliapa angepatikana Kabla ya j2...
Tungeanza na BASHITE
 
Mwendakuzimu alisababisha unprecedented level of unemployment since independence ,upuuz wake WA kuua sekta binafsi Kwa chuki za kijinga, ignorance ,ubabe WA kijinga na sera mbovu .Leo hii kuna lundo la graduates mpaka WA masuala ya afya na ualimu ni mamachinga kitaani ,kitu ambacho hakikuwa hivi miaka iliyopita .Lijitu limeingia na roho za kuzimu likazuia Kwa miaka 6+ Serikali kuajiri , just imagine .
Lile lijitu sijui lilitokea kuzimu ipi aisee

Watu walipata mental and physical scars ambazo hazijapona mpaka leo ,mlaaniwe wote mnaomtetea huyo mjinga wenu makufuli
 
Kumbe Rais mstaafu anashitakiwa siku hizi
Kwani lini alikuwa hashtakiwi?,shida ni mchakato wake mgumu tu,Raisi mstaafu anashtakiwa ila mpaka kinga yake iondolewe bungeni kwanza,sasa kwa bunge lile lililoshikwa masikio na Jiwe ilikiwa ni suala la simu moja tu kwa bwana Ndugai bunge linapiga kuondoa kinga kwa asilimia 100
 
Back
Top Bottom