Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

2339015_Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Jipe Moyo na Misemo HEWA
✓ Kauli hizo ni halisi ktk ulimwengu usionekana kwa macho ya damu na nyama, yaani (invisible world) na zinazaa matokeo katika ulimwengu huu unaouona kwa macho...

✓ Ukitaka kuthibitisha hili, basi, wewe fanya ujinga wako wowote wa kutenda baya lolote dhidi ya binadamu mwenzako, kwa mfano;

1. Muue nduguyo ukidhani huonekani au;

2. Tembea kingono na mke/mume wa jirani yako ukidhani umejificha, au

3. Fanya ujinga na upumbavu mwingine wowote..

## Nakuhakikishia jambo moja, kwamba, utapaswa kusubiri payback cheque ya uovu wako aidha ukiwa hai au hata kama utakuwa umeshakufa kama mwendazake kwa sababu imeandikwa hivi ndugu All truth23, "What goes around, it always comes back where it was before...!"
Sina hakika kama umenielewa mpaka hapo..

✓ Kwa sababu, kwa ufahamu na uelewa huu ulionesha kupitia kauli yako hii, it's obvious kuwa, wewe ndiye "hewa" ndani ya kichwa chako. Hata hivyo, nakuombea Mungu aliyekuumba akusaidie kukupa ufahamu mpya...!!
 
Watanzania raia wa ajabu
Umbea wa siasa
Ubishani wa mipira

Wape kazi sasa wavivu hatari.
Kulalamika ndio uwezo ulipoimarika wao.

Kuna raia hapa zina comment kwa uchungu ila huko kazini hatimizi majukumu yake kwa wakati, anacheki mianya ya upigaji[emoji23] na kula kuku kwa mrija na shankupe lake.

Eyooo pigeni kazi
Umbea achia wadada wa saloon.
Wewe fanya yako na wao waachie yao. Kama ni umbea wewe unausoma wanini?
 
We Mzee ni mnafiki ,wewe ndio ulikuwa unaongoza wenzako kumpamba huyo mhutu humu , ilifikia kipindi mpaka ukiandika kitu kumkosoa magufuli na genge lake ,unspigwa ban na moderators , yaani kulikuwa kuna mapimbi humu sijui ndio walipewa umederators ,ukiwapa facts na kuwaumbua mods uchwara WA humu walikuwa wanakupa ban na Nina wataja hapa chini hao mapimbi wote na machawa
Countrywide Pascal Mayalla faiza foxy Stroke johnthebaptist Mudawote cocochanel Laki Si Pesa Ritz @YEHODAYA TumainiEl tena hili lijamaa lilitoa kitisho cha Ben Saanane kuuawa na ukawa kweli akatekwa na kuuawa na genge la mwendakuzimu, hawa vibwengo ndio ninaowakumbuka mazombie wengine watakuwa walishafuta hata accounts humu Ila wapo wengi
 
In magufuli word ukiona unasifiwa na adui rudi nyuma jiulize umekosea wapi
Ila ukiona adui ana lalamika jua kabisa umewatwanga kweli kweli

Hizi zote ni propaganda tu hakuna ukweli wowote lakini kama kuna ukweli ujuwe kabisa ulikuwa mafia fulani ukakutana na mafia mwenzako akakumafia uko uko
JPM hakupenda ujinga
Alikuwa jizi ama majizi mengine akijificha kwenye kichaka cha nyie wanyonge
 
Wewe acha uwongo, labda ulikuwa Burundi ndiyo maana unapinga tu.

Halafu nashangaa kila anayepinga udhalimu wa Magufuli anaitwa Cheti Feki au Fisadi. Hiyo siyo sawa, kuwa na Cheti Feki hakuchukui haki ya mtu kutoa maoni. Isitoshe hata Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD Feki. Leta hoja nyingine

Na ndio lililomuondoa Ben Saanane baada ya kuweka wazi Phd Feki ya "MTU FURANI" JikonoJandama.
 
Uraisi ni taasisi na taasisi ni watu na huwezi kuwatoa watu hao kwenye uovu wa taasisi hiyo ama kwa kuufumbia macho uovu huo au kwa kuusapoti..........

Kimantiki huwezi kumuweka kando Samia Kwa tuhuma ovu dhidi ya Magufuli na watu wa karibu.........

Hakujawahi kuwa na rais mwenye taasisi safi ndani ya nchi yetu Kwa kuwa watawala wakishashika usukani hawalendezwi na maoni au mitazamo ya wanaowaongoza........

Wanachozidiana na uovu lakini wote ni waovu........

Kama ambavyo walitolewa meno wakina Ulimboka Kwa kupigania haki na maslahi Yao ndio walivyo angamizwa wengine kwenye utawala ule......

Tunachotakiwa kufanya ni kupigania katiba mpya itakayokuwa na uwezo wa kuwajibisha taasisi ya uraisi kwenye mikono ya kisheria ili kuleta uadirifu na uwajibikaji kwenye taasisi hiyo Kwa maslahi ya umma.......
Ila kumbuka Jiwe alitoka hadharani na kusema yeye hashauriki, sasa hapo utamlaumu Samia au Pm?
 
Kabendera kaandika uongo

Katiba ya nchi inamlinda Raisi akiondoka madarakani hairuhusiwi kumkata wala kumshtaki kwa lolote alilotenda akiwa Raisi

Analindwa na katiba

Kabendera yuko sifuri kichwani kuhusu katiba
Jiwe alikuwa anafata katiba/Sheria?
 
Magufuli nikiongozi bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili.yaani hata mumchafue vipi amewakuna kunako takiwa kwani kumkamata kiongozi wa mafisadi nizambi
Kweli Jiwe alipendwa na watu wajinga wajinga, sasa wewe hata kuandika tu hujui na wewe ndiye mfuasi wake a.k.a mnyonge wake
 
Back
Top Bottom